bora mim
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 556
- 751
Madrid hawana uwezo wa kuifunga Barcelona goli nne kwa bila, ushindi wao ni 2 kwa 1, hata ivo hawawez kushinda.Ila naimani Tar 3 uje utoe mrejesho mapema baada Ya kufungwa 4-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madrid hawana uwezo wa kuifunga Barcelona goli nne kwa bila, ushindi wao ni 2 kwa 1, hata ivo hawawez kushinda.Ila naimani Tar 3 uje utoe mrejesho mapema baada Ya kufungwa 4-0
Wewe ni shabiki wa Man U.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kiongozi mimi mwenyewe ni mnazi mkubwa tu WA Barcelona ila hiyo Tar 3 tutafungwa tu maana Madrid wako poa Sana Barcelona beki MA kiungo hakuna kabisaaa a
Yale yale ya everlenk, eti yupo Man U na Barca.BARCA na MAN U wapi na wapi
aiseeee usituletee mkosi
Naunga mkono 100% Luis ni mzuri kuliko Pep, Pep hawezi tengeneza timu, anaenda ktk timu ambazo wenzake wameshajenga.Lius is way better than pep basi tu
Mimi Barcelona damu damuWewe ni shabiki wa Man U.
Maajabu hayo, shabiki wa Man u atamfuata Cr7 tuYale yale ya everlenk, eti yupo Man U na Barca.
Huyu mleta mada ni mnafki sana. Na wanafki sehemu yao ni ktk lile ziwa liwakalo moto.Maajabu hayo, shabiki wa Man u atamfuata Cr7 tu
Naunga mkono 100% Luis ni mzuri kuliko Pep, Pep hawezi tengeneza timu, anaenda ktk timu ambazo wenzake wameshajenga.
Ulikuwa serious kweli?Lius is way better than pep basi tu