Fall of Luis Enrique and the rise of Zinedine Zidane

Mkuu, wewe timu gani?
Uk...Man utd
Spain Napenda Barca
Tatizo tukiongea ukweli watu wanasema Unafiki

Timu isipowekwa vizuri itakuja kupata shida sana mkuu

Anza game na Sevilla ushindi tena kwa Mbinde

Malaga sare Sare

Real Sociedad sare Sare

Hata zile dozi nene nene zimepungua siku izi
 
Anhaaa, kumbeeee. Jamaa ni mnafki huyu.
We utaniita kila jina Ndugu ila najijua mwenyewe.
Tatizo tunapenda kusifia kila kitu hata mtu akifanya vibaya kisa unampenda siku akikosea mwambie Ukweli na sio kumpaka mafuta na Mgongo wa Chupa
 
Enrique pale barca mfumo wa uchezaji ndo unambeba yy hana hata ujuzi anategemea wakongwe akina mesi Na neyma wasipokuepo2 wanakula gambe Na mechi ya mwisho mess ndo man of the match bila yy wangelala bila goli
 
Reactions: PNC
Elclasico barca atashinda ikiwa zizzou kafukuzwa tu jamaa anajua kucheza gemu kubwa hasa zenye presha na amsha amsha
Kavunja historia na Ule Ukuta mgumu wa Alt Madrid Sijui pale Barca cha msingi Barca itabidi wajitaidi kuposess mpira sana wakicheza kufukuzana itakula na fundi wa kutuliza Mpira Iniesta ndo hivyo tena tusubiri

Na raha ya hizi timu ukikutwa umekaa vibaya unakula goli nyingi sana

La msingi Barca wasitangulie kufungwa
 
Mkuu naona Kama Luis Enrique timu imekua kubwa kuliko yeye japo kawapa kikombe ila zile touch zao zimepungua sana na hii sera yao ya kusajili ovyo ovyo wanataka kuwaiga real madrid sijui La Masia haitoi vyombo tena
Lamasia kwasasa haina eachezaji wenye viwango na hiio hua inatokea kwa bahati ukapata kundimoja kwa mwaka ukapata wachezaji zaidi ya saba wote in wazuri kama class ya akina Messi kabla ya hapo walikua wananua sana kuanzia akina Etto Ibra Gaucho Rivaldo au mfano angalia ,class.ya. akina Beckham na wenzake wote walitokea Accademy ya ManU lakini kwa sasa wamepata mmoja huyu fowadi dogo
 
Nilitabiri madrid tutawafunga brca 6-0 ila kwa kuea juma mosi tumecheza vibaya na nyie marefa wana wabeba sana sasa nimetabiri 4-0 tuu
Hapana kama watafungwa so zaidi tatu kwa sababu Bale na Kroos hawapo
 
kanawe miguu ukalale naona unamwaga povu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kiongozi mimi mwenyewe ni mnazi mkubwa tu WA Barcelona ila hiyo Tar 3 tutafungwa tu maana Madrid wako poa Sana Barcelona beki MA kiungo hakuna kabisaaa a
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hili ni povu
 
Daa kuna thread moja nlileta hapa watu wakasema Rakitic Sio mzuri
Nimeongelea Negativity sijagusa Positivity Aya Kuna Alex Song tena Na Fabregas leo wako wapi

Warudi tu kwenye sera yao ya kupika vyombo vyao wenyewe
ushasahau kuwa ile thread ulileta kumponda MESSI
 
wewe sio mfuatiliaji wa Barcelona umezoea.kuiangalia ikicheza na madrid
 
BARCA na MAN U wapi na wapi

aiseeee usituletee mkosi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kiongozi mimi mwenyewe ni mnazi mkubwa tu WA Barcelona ila hiyo Tar 3 tutafungwa tu maana Madrid wako poa Sana Barcelona beki MA kiungo hakuna kabisaaa a
kwa maneno yako unamaanisha Barcelona.wanaingia MSN pekee

BARCELONA HATUJAWAHI KUKATA TAMAA
 
Lakini guys kwa case ya game ya real sociedad ule uwanja ni ngumu sana kwa barca hujawah kushinda for give years now
 
Lius is way better than pep basi tu
 
Ni wakati wetu,Real Mardid all the way.
Dec 3 Barca lazima akae 2-1 au 3-0.
cc The bold
Hii mechi tunawakalisha kama tunacheza na ruvu shooting..

Walah natamani hii gemu tuicheki pamoja.. Somewhere kwenye mizuka, kama Catalunya au koko [emoji1] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…