Hii mechi tunawakalisha kama tunacheza na ruvu shooting..
Walah natamani hii gemu tuicheki pamoja.. Somewhere kwenye mizuka, kama Catalunya au koko [emoji1] [emoji23]
Magogoni!! [emoji17] [emoji17]Ajajajajajajajaaaaaaaaa
Fanya hivyo basi?[emoji39] [emoji39]
Game nyingine In Shaa Allah [emoji120]Magogoni!! [emoji17] [emoji17]
Ivi Barca kutoka Msn Nani anagoli Nyingi mwingine?kwa maneno yako unamaanisha Barcelona.wanaingia MSN pekee
BARCELONA HATUJAWAHI KUKATA TAMAA
hakuna mkuuUlitakaje labda?wewe kama wewe hakuna timu unaipenda kule Italia,Germany,Uk Au belgium?
sasa ndio maswali gani hayoIvi Barca kutoka Msn Nani anagoli Nyingi mwingine?
We Ndugu unaongelea ushabiki na sio mpira.
Siku hizi kuna watu wenye roho ngumu pale barca kama zama za akina Puyol,Deco de Souza,Xavi,Abidal waliobaki wote timu ikitangulia kufungwa ni Rahis sana kupoteana
Kama kuna uwezekano naye ruksa kufunga...sasa ndio maswali gani hayo
KAZI YA MSN ni MAGOLI
hao wengine ni mara chache
au ulitaka Ter ndiye afunge
Anakuwa dimbani hyo tarehe......Tangu iniesta alivyoumia barca pale kati wanapoteana kimtindo...yule alikuwa mbunifu sana
View attachment 441098 hawa ni wataalamu wa mpira wanasema hivi goal.com sasa wewe Ndugu still bado hujaona Mapungufu tu ya kikosi
We nawe uliambiwa na nan kwamba game dhid ya Real Sociedad walikuwa home?Ndo kusema wapinzani washajua mbinu za Luis enrique tangu afungwe na Man city UEFA cup hana matokeo mazuri kivile nyumban kaenda sare dhidi ya Malaga na Real Sociedad
Mwenzake Zidane ni Kicheko akiwa ndo kwanza Anaongoza ligi,Na wakitarajia kukutana 3 Dec Madrid anaonekana yuko vizuri zaidi akichagishwa na ushindi wa Goli 2-1 dhidi ya Gijon
Na ukiangalia kikosi cha Jana cha Barcelona nahisi kilikua kikitafuta mfumo na mbinu tu dhidi ya Game ya Tar 3 Dec sitarajii kuona mabadiliko Makubwa Kivile
Japo mechi za hawa jamaa hazitabiriki dk 90 ndo zinaamua matokeo pindi wakutanapo hawa wakali wawili
Je Luise Enrique Anatakiwa kubadili Mbinu zake?
3 Dec sio mbali sana mwenye kumiliki Kisu kikali ndo Atakula Minofu Zaidi
Nimejibu nikaweka mfano wa madrid ndo imekuwa sio mfuatiliaji wa barca basi buana.wewe sio mfuatiliaji wa Barcelona umezoea.kuiangalia ikicheza na madrid
Ila naimani Tar 3 uje utoe mrejesho mapema baada Ya kufungwa 4-0timu yenye uwezo mbaya inaweza shika nafasi ya kwanza kwenye makundi UEFA [emoji15]