Fally Ipupa hana thamani kubwa kama ambacho waandaaji wa Tamasha lake wanataka kuwatoza wadau

Fally Ipupa hana thamani kubwa kama ambacho waandaaji wa Tamasha lake wanataka kuwatoza wadau

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu kijana ni mwanamuziki wa kawaida sana, hii gharama ya viingilio vya mlangoni ambavyo waliomleta wanatutoza ni wizi wa mchana.

Ni kweli tuna njaa na rhumba lakini kwa nchi iliyokongoroka kama hii na kwa viwango hivi haiwezekani

Wasio na hela(seat): 100,000
VIP Table ...........: 1,000,000
VVIP Table.........: 1,500,000
 
Huna pesa, wenye nazo tutalipia na kuburudika
Hivi unadhani tunapoandika humu tunajisemea binafsi? Mimi kwa miaka 6 mfululizo nafuata Rhumba Nairobi, ndio nishindwe hicho kilaki ! nilichozungumzia ni thamani ya Fally, hana bei hiyo
 
Hivi unadhani tunapoandika humu tunajisemea binafsi? Mimi kwa miaka 6 mfululizo nafuata Rhumba Nairobi, ndio nishindwe hicho kilaki! nilichozungumzia ni thamani ya Fally, hana bei hiyo
Mkuu unapendekeza kiingilio kiasi gani cha kuendana na thamani yake?

Si nasikia vip wana pewa na vinywaji?
 
Mbona bei ni ya kawaida ? au siku hizi hakuna mabilionea wanaosikiliza nyimbo za congo ?
 
Bia mbili wanawaibia.
Mkuu mbona unaziponda bia za nyumbani, we unatumia bia zipi?
Mwaka wa 10 huu sijawahi kuonja bia ya Tanzania, sinywi bia ambazo chupa zake zinarudi tena kiwandani kujazwa tena
 
Back
Top Bottom