Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna lolote usingelalamika kuhusu kiingilio [emoji23][emoji1787]mwaka wa 10 huu sijawahi kuonja bia ya Tanzania , sinywi bia ambazo chupa zake zinarudi tena kiwandani kujazwa tena
Hivi unadhani tunapoandika humu tunajisemea binafsi? Mimi kwa miaka 6 mfululizo nafuata Rhumba Nairobi, ndio nishindwe hicho kilaki ! nilichozungumzia ni thamani ya Fally, hana bei hiyo
Njoo kitaa huku siku hizi tunacheza Ngwasuma kiingilio kinywaji tu.Huyu kijana ni mwanamuziki wa kawaida sana, hii gharama ya viingilio vya mlangoni ambavyo waliomleta wanatutoza ni wizi wa mchana.
Ni kweli tuna njaa na rhumba lakini kwa nchi iliyokongoroka kama hii na kwa viwango hivi haiwezekani
Wasio na hela(seat): 100, 000
VIP Table ........... : 1,000,000
VVIP Table......... : 1,500,000
Lakini ndio hivyo wengine bei hawaziwezi hizo Heineken.... wanaamua kuangukia chupa za mende...🤣🤣🤣mwaka wa 10 huu sijawahi kuonja bia ya Tanzania , sinywi bia ambazo chupa zake zinarudi tena kiwandani kujazwa tena
nimejikuta nacheka tuUkiona haumudu bas ujue haijaandaliwa kwaajili yako, tunza hiyo buku 5 yako vizuuuri, buku mbili ununue bundle , nyingine utumie kama nauli ya kwenda kazini na kurud alaf inayobaki ukirud jioni ununue mihogo yenye kachumbari na pilipili mingi unywe na maji mengi alafu ulale.
Halafu mshalipa mshazugwa jamaa huyo anapiga show tena kwa buku 5 lango la jiji🤣🤣🤣.meza moja haiwezi kuzidi watu wanne
Wabongo mna maneno ya shombo sana ! lengo langu ni kuwatetea nyinyi wanyonge tu , mimi sina tabuWewe huna pesa!
Tunaomfuatilia Fally tunajua burudani yake
Ukiona unalialia bei ujue wewe sio mlengwa wa huduma husika
Uwe na pesa wewe mnuka shida weweHuna pesa, wenye nazo tutalipia na kuburudika
Wabongo mna maneno ya shombo sana ! lengo langu ni kuwatetea nyinyi wanyonge tu , mimi sina tabu
Uwe na pesa wewe mnuka shida wewe
Shida ya Fally ni moja tu na ndio maana thamani yake imeporomoka , ukicheza nyimbo zake 5 tu umekinai , tofauti sana Koffie ama Ferre Gola au hata JB MpianaUkiwa na msukumo wa kupenda Rhumba na pesa unayo mbona unakata tiketi yako mapema sana.
Uwe na pesa wewe mnuka shida wewe
kwani me nimesema wewe una pesa.Maccm mkoje nyiePesa zangu zikuhusu nini
Hii ndio shida ya uswahili na umasikini
kwani me nimesema wewe una pesa.Maccm mkoje nyie