Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Au hata Mack AntonyViingilio vya chriss brown hivyo
meza moja haiwezi kuzidi watu wanneWatu wangapiwangapi?
nje ya madaTulishawambia harakati za chadema hazilipi!
Ona sasa unaanza kulialia hapa kwa kiingilio cha 100k kweli?
Ukiona hivyo hii show sio size yako
nje ya mada
Hivi unadhani tunapoandika humu tunajisemea binafsi? Mimi kwa miaka 6 mfululizo nafuata Rhumba Nairobi, ndio nishindwe hicho kilaki ! nilichozungumzia ni thamani ya Fally, hana bei hiyoHuna pesa, wenye nazo tutalipia na kuburudika
Mkuu unapendekeza kiingilio kiasi gani cha kuendana na thamani yake?Hivi unadhani tunapoandika humu tunajisemea binafsi? Mimi kwa miaka 6 mfululizo nafuata Rhumba Nairobi, ndio nishindwe hicho kilaki! nilichozungumzia ni thamani ya Fally, hana bei hiyo
Au hata rotimiau hata Mack Antony
watapewa haya mabia ya Kitanzania mawili mawiliMkuu unapendekeza kiingilio kiasi gani cha kuendana na thamani yake?
si nasikia vip wana pewa na vinywaji?
Bia mbili wanawaibia.Watapewa haya mabia ya Kitanzania mawili mawili
Una maanisha balimi 2?watapewa haya mabia ya Kitanzania mawili mawili
Mwaka wa 10 huu sijawahi kuonja bia ya Tanzania, sinywi bia ambazo chupa zake zinarudi tena kiwandani kujazwa tenaBia mbili wanawaibia.
Mkuu mbona unaziponda bia za nyumbani, we unatumia bia zipi?