Fally Ipupa hana thamani kubwa kama ambacho waandaaji wa Tamasha lake wanataka kuwatoza wadau

Mmeshikiwa panga ama sindano makalioni kwani mkikaa majumbani kwenu wakati wengine wakienda kumshuhudia fally akiimba kibao cha maria manara mtapungukiwa nini maskini nyinyi

Lipeni hiyo laki kenge nyinyi mbona wengine wanalipa milioni na hawajaja kujaza server za memo

Kama Hanna uwezo wa kulipa hivyo viingilio subirini show zenu za akina kondeboy & Ali Kibamia
 
Shida ya Fally ni moja tu na ndio maana thamani yake imeporomoka , ukicheza nyimbo zake 5 tu umekinai , tofauti sana Koffie ama Ferre Gola au hata JB Mpiana
Nakubaliana na wewe,nyimbo nyingi za Fali zina mfanano flani,tofauti na mzee Mopao.
Nyimbo za Fali key za magitaa na midundo ya drums zinafanana sana.
 
Nakubaliana na wewe,nyimbo nyingi za Fali zina mfanano flani,tofauti na mzee Mopao.
Nyimbo za Fali key za magitaa na midundo ya drums zinafanana sana.
Mimi ni bingwa wa Rhumba mkuu
 
umenikumbusha enzi za Club E ya TCC
 
Kutwa nzima unashinda jukwaa la siasa ukiiponda Serikali, kutukana viongozi, kupinga na kukebehi miradi ya Serikali kumbe huna shughuli ya kueleweka zaidi ya kusubiri posho za ufipa

Tafuta hela bwana mzee, wenye Saccos yao ya Chadema wanakutumia kama dekio tu,,, sasa unalialia kiingilio 100k kwa msanii Mkali kama Fally, are u crazy!???
 
Tena hiyo bundle atumie haswa kuendelea kuitukana Serikali na viongozi wake 😀
 
linapofika suala la kuhudhuria live performance ya wanamuzuki wa rumba aina ya fally ipupa, ferre gola au koffi olomide, kiingilio hata kiwe laki tano ya kitanzania, kama ninayo nitalipa.

attending a live performed music event of these three congolese maestros it isn't just for entertainment, it's also a prestige.

 
Hivi unadhani tunapoandika humu tunajisemea binafsi? Mimi kwa miaka 6 mfululizo nafuata Rhumba Nairobi, ndio nishindwe hicho kilaki ! nilichozungumzia ni thamani ya Fally, hana bei hiyo

Tena VVIP ilitakiwa iishie 500000, kwenye orodha ya wanamuziki wa Rhumba wenye thamani congo Fally kaachwa hadi na Innoss B siku hizi yaani new generation wametakeover na vingilio vyao ni heavy, sawa na Koffii wa miaka hii limebaki jina lakini hata promotors nje hana vote sana kama zamani, Zamani usingemuona koffi mara tano hadi sita anakuja Tanzania alikua dhahabu sana kumpata kazi kubwa
 
Mkuu usinirudishe kwenye siasa , hili jukwaa ni lingine
 
Humjui fally ipupa wewe

Kaa chini fanya research upya

Hizo rates za kawaida sana kwa fally.

Huyo mwamba anafanya show nchi za ulaya wanazoongea kifaransa na Anajaza
 
Kama huna hela ya kiingilio usiende; acha kutupigia kelele.
 
Basi Sugu akaimbe dei waka yake wahuni walipe bukubuku huku wakiitikia yoyoyoyeyeayeyeah ma pipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…