Falsafa ya ‘Law of Pressure’ inavyoiwezesha CHADEMA kuidhoofisha CCM na kuzidi kuipa wakati mgumu Serikali na Vyombo vya Ulinzi

Kinachotafutwa kwenye maandamano ni usawa katika haki

Hicho chakula ukisemacho hakiwezi patikana ikiwa mazingira ya kibiashara sio rafiki

Hata kwa mkulima haiwezekani wewe uhangaike kwenye kilimo hadi uje uvune ,ikifika wakati wa kuvuna unapangiwa bei na mtu ambaye hajui umetumia pembejeo kiasi gani au gharama kiasi gani

Mwisho huwezi kukitafuta chakula ukiwa na hofu ya maisha yako . Kenya tena ulinganishe na Tanzania utakuwa unamosea sana , ukitoa ukame Kenya vingine vyote wanatuzidi

Sijui kama unafaham matokeo chanya baada ya maandamano yale , samahani naomba unifungue ubongo kidogo kuhusu financial bill ya Tz 2024-2025 kama umeipitia au laah
Hatuna utamaduni wa maandamano hapa Tanzania, busara ya miaka mingi imeyakataa. Na sio wajinga kuamini katika suluhisho lenye kutokana na ujenzi wa hoja.
 
Sina iman na chadema kuchukua nchi maana wengi ni mamluki na wapiga p
kama wangekuwa na nia ya kuchukua nchi, wangeandaa maandamano yasiyo na kikomo kutetea katiba mpya na muundo wa tume huru ya uchaguzi
Sisi wenye iman tuache kijana
 
Kila kitu kina mwanzo na mwishi. Walikaa wakoloni miaka miana na ushee mwisho wa siku wa kasepa. CCM nao hivyo hivyo siku moja.

Usipate shida sana.
 
Hatuna utamaduni wa maandamano hapa Tanzania, busara ya miaka mingi imeyakataa. Na sio wajinga kuamini katika suluhisho lenye kutokana na ujenzi wa hoja.

Mkuu Huwa nakushangaa sana, personality yako mbele bya Jamii, na mambo hovyo hovyo ambayo unachangia hapa.

Sijawahi kuona la Maana, mkuu uligusa kidogo philosophy??

Branch ya Logic??
Kama ulisoma, hukuelewa, au hutaki ku aply kwenye maisha.

Unaandika vitu ,kuchangia kama bonge flani la LUMPEN,najiuliza ujinga na upuuzi huu unalipwa ngapi??

Na kama unalenga teuzi ni hatari sana kugeuza uongo kuwa ukweli.

"Eti hatuna utamaduni wa maandamano ,yanakataliwa"

Unaujua katiba ya nchi wewe?? Ulisoma elimu ya uraia??

Maandamano yapo na yameruhusiwa na katiba za nchi nyingi duniani ,ikiwemo katiba ya Tz ya 1977 na Sheria ya vyama vya siasa.
Sasa wewe samahani naomba nikuite KENGE kwa ruhusa Yako,ni utamaduni upi unaozungumzia wewe??🤔🤔

Nyie watu mnataka kuharibu Siku bya bwana.

Understanding Yako naona anakupita mwanafunzi wa kidato Cha pili kwenye elimu bya uraia civics.🤔🤔

Acha kuendekeza NJAA ya kutaka teuzi waachie akina Luke Mwashambwa.

Msalimie sana 🐸🐸🤣 Kiziwi kabakiza miezi 10, mwambie afungashe kurudi KIZIMKAZI.

2025 Rais Mwanaume, Mkristu, Mkatoliki.😀😀
 
Sina haja ya teuzi mkuu, umeandika mengi lakini yote ni mapovu matupu.

Hatuna utamaduni wa maandamaoo licha ya katiba kuruhusu, uzoefu unaonyesha hivyo.

Wanaharakati wanapanga tarehe za maandamano, na hakuna yoyote anayejitokeza huko njiani.

Watanzania kukataa hizi siasa za harakati sio wajinga ujue!, wanaangalia mbali kwamba zinawafikisha wapi zaidi ya kuishia kugombana na mapolisi na kulala ndani.

Pole sana mwanaharakati ikiwa nimegusa mahali nisipotakiwa.
 
Hamna povu, nimekuchana mchana kweupe, full of fact's.

Siku nyingine uwe unajipanga, namna nyingine utaonekana ni LUMPEN kiongozi!!
 
Back
Top Bottom