Falsafa ya mzee wangu kusomea Udaktari, Engineering au Sheria imetuokoa sana Watoto wake hence prooven, Nami sina budi kuiendeleza kwa watoto

wala sijachapia, kumbuka si maneno yangu ni ya mhusika mweyewe, kutengeneza hesabu za hicho kilimo anchofanya sasa hakuhitaji hata ufaulu wa ATEC, sembuse cpa. matarajio yake yalikuwa makubwa sana kuwa cpa ingemuingizia mihela but kinachomuingizia hela kingiiine kabisaaa
 
Namshauri asijutie, na watu wengine wasife moyo wa kusoma course za juu wakihofia watapoteza rasilimali muda na fedha. Elimu ni asset, kama haitamsaidia leo, itamsaidia kesho. Ukiwa na nyumba ya vyumba vinne, vikatumika vitatu, huwezi kusema kile kilichobaki ni hasara; muda wowote kitapata matumizi!
 
Hiv mtu anasoma akitageti mshahara au kutanua uelewa mkuu. Nauliza tu kwa kuchokonoa hoja yako usimaind. Ila somesheni watoto aisee. Mi fani nazotaman watoto wangu wasomee ni sheria hasa sheria za kodi, computer injinia na accounting. Udaktari hapana. Na nisingependa mtoto asome sana cjui uprof hapana. Ila kuajiriwa wataajiriwa kupata uzoefu sio kaz aisee Ndani ya miaka 3 mwisho wanatakiwa wawe na shughuli zao kuendana na walichosomea. Nimejiandaa kwa hilo. Ila la msingi ni vizuri uandae shughuli ya generation yako maana ukifa watoto hawatarithi cheo chako cha ofisi ni unawapanga kujua shughuli zako unafanyaje mdogo mdogo. Mi kila watoto walipokuwa wanafunga shule mwez wa 6 nasafir nao. Wanajua ninavyonunua mzigo namna ninavyobanana na mchina mpaka mzigo kufika dukan na kuusambaza kwa walaji. Kijana wangu mkubwa ndio kamaliza chuo wiki mbili tu ndio yupo front. So hongera ila andaa shughuli za familia itakusaidia in future to come.
 
Nikiangalia tu Kwa maelezo yako ni kama unahadithia kitini cha mwakimu wako.
Bado una story za vijiweni na huijui dunia ya Sasa vizuri.
Hizo ni story za miaka ya 47.

Nani kakwambia kuwa eng,lawyers na Dr ndo kuwa na pesa? Hizo zilikuwa Imani za jadi ambazo ni sawa na ushirikina.

Dunia ya Sasa haihitaji kukariri vitini bali versatile brain na real time reaction.
 
Hajui hao malawyer wanatembea na mihuri ya kukugongea document Kwa elfu 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…