Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Rubbish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aidha SSH anataka hizo 4R kwa dhati na moyo safi kabisa lakini kuna watu ndani ya CCM hawazitaki, au SSH anatuhadaa wananchi kwa hizo 4R kuvuta muda mpaka 2025.
Kwa maoni yangu, tutamwona SSH halisi baada ya 2025. Na ikiwa ni CCM ndio hawataki hizo 4R basi tumwombee mheshimiwa Rais wetu, kwasababu watafanya juu chini kumkwamisha.
Hajui anasikia tu..sidhani kama Maza anaelewa maana ya hizo 4R. Ndio maana hata hazizungumzii.
Anajua Hana kipindi Cha pili, maana ni wa mpito!!..tofauti na watangulizi Maza ameanza wizi na ufisadi ktk kipindi cha kwanza cha uongozi wake.
Dada/balozi wewe unao uhuru?Toka nilipoanza kuzisoma na kuzifanyia tafiti zangu binafsi R 4 za mama Samia nimeona na nnaendelea kuona kuwa R 4 za mama Samia zimelenga kumpa uhuru wa kweli kila mmoja wetu kivyake na siyo uhuru wa kukusanywa kikundi na kujazwa ujinga na "viongozi".
Tatizo kubwa na la kipekee la Watanzania ni ujinga, hili nimelirudia mara kwa mara na naendelea kulirudia. Naamini kwenda shule pekee na kujaza vyeti ukuta mzima siyo kuelimika, kuelimika ni zaidi ya hapo. Hutoelimika mpaka uwe na uwezo wa kusikiliza na kufata hekima njemaza qwengine daima.
Kuondoa ujinga ni pale wewe kama wewe utapoanza kufikiri, kuwaza na kutenda kwa faida ya jamii na kuwacha mazowea ya ujinga wa u "mimi", "u yangu" na "u vyangu". Anza u sisi, u vyetu. Fikiria wenzako kabla hujajifiria nafasi yako. uwa huru ni kuwa na fikra za faida kwa wengine, siyo kwako. Bila kuwa na faida kwa wengine huna faida yoyote.
Ujinga mwengine ni ujinga wa kuwa tegemezi kwa wengine tuliojazwa nao kuanzia mkoloni mpaka leo hii. Ukienda kuomba msaada kwa rafiki, kaka, dada, mjomba, shangazi (kwa mtazamo wako ana uwezo) wa kukusaidia akishindwa kukusaidia basi kishakuwa mbaya, huo ni ujinga wa utegemezi. Anza kuufuta kwa kufanya "reconciliation".
R 4 za mama Samia zina vina virefu na vipana sana na vina vyake vinatugusa sote, kila mmoja wetu kivyake kwa faida ya walio wengi.
R ya kwanza "Reconciliation" ya mama Samia ina kina (very deep) kuliko tunavoisoma kijuu juu kuwa ni kusameheana tu. Unapomsamehe mwenzako hufikirii maumivu yaliyokupata wewe bali unafikiria kuyaponya maumivu na kuondoa makovu yako kwa kumsamehe yeye kwa faida yako, yake na ya jamii kwa ujumla. Kusamehe {forgiveness) ni dhana moja tu katika "reconcialtion".
Nikiiongelea hii dhana moja tu ya "Reconciliation" ntaujaza huu uzi bila kuzigusia dhana nyingine.
Kwa ufupi "reconciliation" imelenga kukuweka huru kwanza katika fikra zako na vitendo vyako, inakupa amani ya moyo na nafsi yako na ya wale ambao ume "reconciliate" nao. Reconciliation ya kwanza kabisa ni kukubali ndani ya moyo wako kuwa upo huru na jamii yako inayokuzunguka na hauna minyororo (minyonyoro, ki mama Samia) inayokufunga nafsi na mawazo yako. Reconiciliation ni ufunguo wa kuifunguwa minyororo inayokuzonga zonga kifikra na kukuweka huru kabisa.
Leo naishia hapo, nikitoka hapo ntaingia kwenye R ya pili.
Anza kuwa huru kwa kufanya reconciliation" na nafsi yako kwanza, halafu tazama unaendelea kufanya "reconciliation" na nani kila siku ya maisha yako?
Unapochangia uzi huu kuwa huru bila kujizonga zonga na minyororo uliyojifunga au uliyofungwa kwa kufanywa u mjinga wa kuburuzwa. Fanya "reconciliation" ya kweli. Ongea na nafsi yako.
Itaebdelea.
Toka nilipoanza kuzisoma na kuzifanyia tafiti zangu binafsi R 4 za mama Samia nimeona na nnaendelea kuona kuwa R 4 za mama Samia zimelenga kumpa uhuru wa kweli kila mmoja wetu kivyake na siyo uhuru wa kukusanywa kikundi na kujazwa ujinga na "viongozi".
Tatizo kubwa na la kipekee la Watanzania ni ujinga, hili nimelirudia mara kwa mara na naendelea kulirudia. Naamini kwenda shule pekee na kujaza vyeti ukuta mzima siyo kuelimika, kuelimika ni zaidi ya hapo. Hutoelimika mpaka uwe na uwezo wa kusikiliza na kufata hekima njemaza qwengine daima.
Kuondoa ujinga ni pale wewe kama wewe utapoanza kufikiri, kuwaza na kutenda kwa faida ya jamii na kuwacha mazowea ya ujinga wa u "mimi", "u yangu" na "u vyangu". Anza u sisi, u vyetu. Fikiria wenzako kabla hujajifiria nafasi yako. uwa huru ni kuwa na fikra za faida kwa wengine, siyo kwako. Bila kuwa na faida kwa wengine huna faida yoyote.
Ujinga mwengine ni ujinga wa kuwa tegemezi kwa wengine tuliojazwa nao kuanzia mkoloni mpaka leo hii. Ukienda kuomba msaada kwa rafiki, kaka, dada, mjomba, shangazi (kwa mtazamo wako ana uwezo) wa kukusaidia akishindwa kukusaidia basi kishakuwa mbaya, huo ni ujinga wa utegemezi. Anza kuufuta kwa kufanya "reconciliation".
R 4 za mama Samia zina vina virefu na vipana sana na vina vyake vinatugusa sote, kila mmoja wetu kivyake kwa faida ya walio wengi.
R ya kwanza "Reconciliation" ya mama Samia ina kina (very deep) kuliko tunavoisoma kijuu juu kuwa ni kusameheana tu. Unapomsamehe mwenzako hufikirii maumivu yaliyokupata wewe bali unafikiria kuyaponya maumivu na kuondoa makovu yako kwa kumsamehe yeye kwa faida yako, yake na ya jamii kwa ujumla. Kusamehe {forgiveness) ni dhana moja tu katika "reconcialtion".
Nikiiongelea hii dhana moja tu ya "Reconciliation" ntaujaza huu uzi bila kuzigusia dhana nyingine.
Kwa ufupi "reconciliation" imelenga kukuweka huru kwanza katika fikra zako na vitendo vyako, inakupa amani ya moyo na nafsi yako na ya wale ambao ume "reconciliate" nao. Reconciliation ya kwanza kabisa ni kukubali ndani ya moyo wako kuwa upo huru na jamii yako inayokuzunguka na hauna minyororo (minyonyoro, ki mama Samia) inayokufunga nafsi na mawazo yako. Reconiciliation ni ufunguo wa kuifunguwa minyororo inayokuzonga zonga kifikra na kukuweka huru kabisa.
Leo naishia hapo, nikitoka hapo ntaingia kwenye R ya pili.
Anza kuwa huru kwa kufanya reconciliation" na nafsi yako kwanza, halafu tazama unaendelea kufanya "reconciliation" na nani kila siku ya maisha yako?
Unapochangia uzi huu kuwa huru bila kujizonga zonga na minyororo uliyojifunga au uliyofungwa kwa kufanywa u mjinga wa kuburuzwa. Fanya "reconciliation" ya kweli. Ongea na nafsi yako.
Itaebdelea.
Hana sababu ya kuvuta muda, muda utafika, akiwa hai ataukuta na atauwacha.Aidha SSH anataka hizo 4R kwa dhati na moyo safi kabisa lakini kuna watu ndani ya CCM hawazitaki, au SSH anatuhadaa wananchi kwa hizo 4R kuvuta muda mpaka 2025.
Kwa maoni yangu, tutamwona SSH halisi baada ya 2025. Na ikiwa ni CCM ndio hawataki hizo 4R basi tumwombee mheshimiwa Rais wetu, kwasababu watafanya juu chini kumkwamisha.
Maneno hayo hata kwenye khanga yapo.
Tunataka data na statics, siyo porojo zako.
Hizi ni nadharia tu hakuna uhalisia wowoteToka nilipoanza kuzisoma na kuzifanyia tafiti zangu binafsi R 4 za mama Samia nimeona na nnaendelea kuona kuwa R 4 za mama Samia zimelenga kumpa uhuru wa kweli kila mmoja wetu kivyake na siyo uhuru wa kukusanywa kikundi na kujazwa ujinga na "viongozi".
Tatizo kubwa na la kipekee la Watanzania ni ujinga, hili nimelirudia mara kwa mara na naendelea kulirudia. Naamini kwenda shule pekee na kujaza vyeti ukuta mzima siyo kuelimika, kuelimika ni zaidi ya hapo. Hutoelimika mpaka uwe na uwezo wa kusikiliza na kufata hekima njemaza qwengine daima.
Kuondoa ujinga ni pale wewe kama wewe utapoanza kufikiri, kuwaza na kutenda kwa faida ya jamii na kuwacha mazowea ya ujinga wa u "mimi", "u yangu" na "u vyangu". Anza u sisi, u vyetu. Fikiria wenzako kabla hujajifiria nafasi yako. uwa huru ni kuwa na fikra za faida kwa wengine, siyo kwako. Bila kuwa na faida kwa wengine huna faida yoyote.
Ujinga mwengine ni ujinga wa kuwa tegemezi kwa wengine tuliojazwa nao kuanzia mkoloni mpaka leo hii. Ukienda kuomba msaada kwa rafiki, kaka, dada, mjomba, shangazi (kwa mtazamo wako ana uwezo) wa kukusaidia akishindwa kukusaidia basi kishakuwa mbaya, huo ni ujinga wa utegemezi. Anza kuufuta kwa kufanya "reconciliation".
R 4 za mama Samia zina vina virefu na vipana sana na vina vyake vinatugusa sote, kila mmoja wetu kivyake kwa faida ya walio wengi.
R ya kwanza "Reconciliation" ya mama Samia ina kina (very deep) kuliko tunavoisoma kijuu juu kuwa ni kusameheana tu. Unapomsamehe mwenzako hufikirii maumivu yaliyokupata wewe bali unafikiria kuyaponya maumivu na kuondoa makovu yako kwa kumsamehe yeye kwa faida yako, yake na ya jamii kwa ujumla. Kusamehe {forgiveness) ni dhana moja tu katika "reconcialtion".
Nikiiongelea hii dhana moja tu ya "Reconciliation" ntaujaza huu uzi bila kuzigusia dhana nyingine.
Kwa ufupi "reconciliation" imelenga kukuweka huru kwanza katika fikra zako na vitendo vyako, inakupa amani ya moyo na nafsi yako na ya wale ambao ume "reconciliate" nao. Reconciliation ya kwanza kabisa ni kukubali ndani ya moyo wako kuwa upo huru na jamii yako inayokuzunguka na hauna minyororo (minyonyoro, ki mama Samia) inayokufunga nafsi na mawazo yako. Reconiciliation ni ufunguo wa kuifunguwa minyororo inayokuzonga zonga kifikra na kukuweka huru kabisa.
Leo naishia hapo, nikitoka hapo ntaingia kwenye R ya pili.
Anza kuwa huru kwa kufanya reconciliation" na nafsi yako kwanza, halafu tazama unaendelea kufanya "reconciliation" na nani kila siku ya maisha yako?
Unapochangia uzi huu kuwa huru bila kujizonga zonga na minyororo uliyojifunga au uliyofungwa kwa kufanywa u mjinga wa kuburuzwa. Fanya "reconciliation" ya kweli. Ongea na nafsi yako.
Itaebdelea.
Kwa hiyo rais wenu anasamehe mpaka majizi ya Mali za uma yaliyotajwa na cag si ndio ee, au kayatuma ? Maana eti nasikia aliyaambia majizi kila mmoja ale urefu wa kamba yake eti ni kweli Faiza?Toka nilipoanza kuzisoma na kuzifanyia tafiti zangu binafsi R 4 za mama Samia nimeona na nnaendelea kuona kuwa R 4 za mama Samia zimelenga kumpa uhuru wa kweli kila mmoja wetu kivyake na siyo uhuru wa kukusanywa kikundi na kujazwa ujinga na "viongozi".
Tatizo kubwa na la kipekee la Watanzania ni ujinga, hili nimelirudia mara kwa mara na naendelea kulirudia. Naamini kwenda shule pekee na kujaza vyeti ukuta mzima siyo kuelimika, kuelimika ni zaidi ya hapo. Hutoelimika mpaka uwe na uwezo wa kusikiliza na kufata hekima njemaza qwengine daima.
Kuondoa ujinga ni pale wewe kama wewe utapoanza kufikiri, kuwaza na kutenda kwa faida ya jamii na kuwacha mazowea ya ujinga wa u "mimi", "u yangu" na "u vyangu". Anza u sisi, u vyetu. Fikiria wenzako kabla hujajifiria nafasi yako. uwa huru ni kuwa na fikra za faida kwa wengine, siyo kwako. Bila kuwa na faida kwa wengine huna faida yoyote.
Ujinga mwengine ni ujinga wa kuwa tegemezi kwa wengine tuliojazwa nao kuanzia mkoloni mpaka leo hii. Ukienda kuomba msaada kwa rafiki, kaka, dada, mjomba, shangazi (kwa mtazamo wako ana uwezo) wa kukusaidia akishindwa kukusaidia basi kishakuwa mbaya, huo ni ujinga wa utegemezi. Anza kuufuta kwa kufanya "reconciliation".
R 4 za mama Samia zina vina virefu na vipana sana na vina vyake vinatugusa sote, kila mmoja wetu kivyake kwa faida ya walio wengi.
R ya kwanza "Reconciliation" ya mama Samia ina kina (very deep) kuliko tunavoisoma kijuu juu kuwa ni kusameheana tu. Unapomsamehe mwenzako hufikirii maumivu yaliyokupata wewe bali unafikiria kuyaponya maumivu na kuondoa makovu yako kwa kumsamehe yeye kwa faida yako, yake na ya jamii kwa ujumla. Kusamehe {forgiveness) ni dhana moja tu katika "reconcialtion".
Nikiiongelea hii dhana moja tu ya "Reconciliation" ntaujaza huu uzi bila kuzigusia dhana nyingine.
Kwa ufupi "reconciliation" imelenga kukuweka huru kwanza katika fikra zako na vitendo vyako, inakupa amani ya moyo na nafsi yako na ya wale ambao ume "reconciliate" nao. Reconciliation ya kwanza kabisa ni kukubali ndani ya moyo wako kuwa upo huru na jamii yako inayokuzunguka na hauna minyororo (minyonyoro, ki mama Samia) inayokufunga nafsi na mawazo yako. Reconiciliation ni ufunguo wa kuifunguwa minyororo inayokuzonga zonga kifikra na kukuweka huru kabisa.
Leo naishia hapo, nikitoka hapo ntaingia kwenye R ya pili.
Anza kuwa huru kwa kufanya reconciliation" na nafsi yako kwanza, halafu tazama unaendelea kufanya "reconciliation" na nani kila siku ya maisha yako?
Unapochangia uzi huu kuwa huru bila kujizonga zonga na minyororo uliyojifunga au uliyofungwa kwa kufanywa u mjinga wa kuburuzwa. Fanya "reconciliation" ya kweli. Ongea na nafsi yako.
Itaebdelea.
Mama amaezifanya kwa vitendo na anendelea kuzifanya.