FAM aitisha Hafla ya Siri Nyumbani kwake Akialika Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Na Kuwaahidi Vinono

kikubwa uchaguzi uwe wa huru na wa haki.
 
Ina maana Mh. Lissu hakualikwa?
 
Ndiyo mbinu mnaitumia baada ya kujua kuwa wapiga kura wako upande wa Mbowe. Hii picha ni uongo umeokoteza na kuunga unga.
 
Kama hili ni tukio la siri basi hata mechi ya Yanga na Dodoma jiji ilichezwa kwa siri Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…