FAM aitisha Hafla ya Siri Nyumbani kwake Akialika Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Na Kuwaahidi Vinono

Wa Lisu Wako wengi sana halafu ni watu wenye Akili timamu na Ndo maana Mwwnyekiti ameshaanza Kuogopa..
Maana Wajumbe wa Mikoani karibu wote wanamuunga Lissu wilaya karibu zote zinamuunga Lissu..

Lissu alipotoa ile Kauli kuwa Ruzuku sasa Itafika Mpaka kwemye Mashina Kila Kiongozi afaidike na Uongozi wake na sio tabaka la Juu tu..
Kajizolea Wajumbe wengi sana ambao wameona kweli Mwamba anawapiga sana
kikubwa uchaguzi uwe wa huru na wa haki.
 
EXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu…

Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM…

Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa…

Tutegemee kuanzia January kuchafuka kwa Mitandanoi watu wapo kimaslahi Binafsi!

FAM atasifiwa kwa kila namna- ujue watu ndio wapo kazini hivyo

Pichani ni Jamaa wa EFM akiwa na Mtoto wa FAM- JAMES MBOWE- Nyumban kwao!

View attachment 3185831

Lakini Hafla ilifana saaana…

Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walifika… na pia influencers kuhakikisha Hasira za wana Online zinakua neautralized!

Kuna timu imeandaliwa ku CRUSH kila AGENDA ya Lissu hasa ya Ufisadi na Ukomo wa madaraka…

itaongozwa na Kikatuni /NTOBI/Boni mayai/MMM/Yeriko na baadhi wenye followers wengi ambao kazi ya kuwapata na kuwaunganisha amepewa Jamaa Wa EFM Aka Madenge..

View attachment 3185833
Ina maana Mh. Lissu hakualikwa?
 
Ndiyo mbinu mnaitumia baada ya kujua kuwa wapiga kura wako upande wa Mbowe. Hii picha ni uongo umeokoteza na kuunga unga.
 
EXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu…

Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM…

Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa…

Tutegemee kuanzia January kuchafuka kwa Mitandanoi watu wapo kimaslahi Binafsi!

FAM atasifiwa kwa kila namna- ujue watu ndio wapo kazini hivyo

Pichani ni Jamaa wa EFM akiwa na Mtoto wa FAM- JAMES MBOWE- Nyumban kwao!

View attachment 3185831

Lakini Hafla ilifana saaana…

Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walifika… na pia influencers kuhakikisha Hasira za wana Online zinakua neautralized!

Kuna timu imeandaliwa ku CRUSH kila AGENDA ya Lissu hasa ya Ufisadi na Ukomo wa madaraka…

itaongozwa na Kikatuni /NTOBI/Boni mayai/MMM/Yeriko na baadhi wenye followers wengi ambao kazi ya kuwapata na kuwaunganisha amepewa Jamaa Wa EFM Aka Madenge..

View attachment 3185833
Kama hili ni tukio la siri basi hata mechi ya Yanga na Dodoma jiji ilichezwa kwa siri Dodoma.
 
Back
Top Bottom