Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Erythrocyte kama mama wa nyumba aliandaa maakuli moto moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo hafai kabisa, na wakimruhusu tu kuingia atangoa na viti vya ofisi kabisaKaiba pesa nyingi zikiwemo za misaada kwa chama na huwa ni mchoyo mbinafsi sasa kalemewa ndipo Wajumbe wajanja wameamua kula pesa zake angalau wapoze machungu
Namba za uchakachuaji pekee ndiyo zitampa Mbowe uenyekiti ambao anahaha kuununua kwa pesa nyingiNamba huwa hazidanganyi.
Huwa sifanyi mjadala na vichaaNamba za uchakachuaji pekee ndiyo zitampa Mbowe uenyekiti ambao anahaha kuununua kwa pesa nyingi
Aliyekuambia wewe mzima nani? Ungekuwa mzima ungekuwa ombaomba kwa mbowe nenda kavute bangi tuondolee ujinga wako humuHuwa sifanyi mjadala na vichaa
Huyo mpuuzi mwaka wa 3 anaishi kwenye denial haamini dikteta wa Chato hatorudi tena.
Kwa hiyo ndo anatoa Takrima au vipi?Cha ajabu ni nini? Si ametangaza kuwa anagombea? Mgombea si anatakiwa kufanya kampeni?
Amandla...
Hujawahi kusikia kuhusu MATAGA?
This time mchimba kisima kaingia mwenyeweEXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu…
Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM…
Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa…
Tutegemee kuanzia January kuchafuka kwa Mitandanoi watu wapo kimaslahi Binafsi!
FAM atasifiwa kwa kila namna- ujue watu ndio wapo kazini hivyo
Pichani ni Jamaa wa EFM akiwa na Mtoto wa FAM- JAMES MBOWE- Nyumban kwao!
View attachment 3185831
Lakini Hafla ilifana saaana…
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walifika… na pia influencers kuhakikisha Hasira za wana Online zinakua neautralized!
Kuna timu imeandaliwa ku CRUSH kila AGENDA ya Lissu hasa ya Ufisadi na Ukomo wa madaraka…
itaongozwa na Kikatuni /NTOBI/Boni mayai/MMM/Yeriko na baadhi wenye followers wengi ambao kazi ya kuwapata na kuwaunganisha amepewa Jamaa Wa EFM Aka Madenge..
View attachment 3185833
Anajifanya PDiddy kwa kuandaa party za Pdiddy?EXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu…
Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM…
Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa…
Tutegemee kuanzia January kuchafuka kwa Mitandanoi watu wapo kimaslahi Binafsi!
FAM atasifiwa kwa kila namna- ujue watu ndio wapo kazini hivyo
Pichani ni Jamaa wa EFM akiwa na Mtoto wa FAM- JAMES MBOWE- Nyumban kwao!
View attachment 3185831
Lakini Hafla ilifana saaana…
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walifika… na pia influencers kuhakikisha Hasira za wana Online zinakua neautralized!
Kuna timu imeandaliwa ku CRUSH kila AGENDA ya Lissu hasa ya Ufisadi na Ukomo wa madaraka…
itaongozwa na Kikatuni /NTOBI/Boni mayai/MMM/Yeriko na baadhi wenye followers wengi ambao kazi ya kuwapata na kuwaunganisha amepewa Jamaa Wa EFM Aka Madenge..
View attachment 3185833
Wenyewe wanamuita "Mzee Wa Konyagi". Kweli wamegundua Mbowe ni muhimu sana kwao kwani ni rahisi kummezesha siasa zao uchwara za maridhiano feki aka "4R" uchwaraAjabu hadi ccm wanamtaka Mbowe si ajabu hii
Mbowa amechagua kuondoka kwa aibu na fedheha kubwa.