Famili inayosemekana kuongoza kwa ....... (Fuatana nami ndani)

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Huku uswahilini tuishiko , wenyewe sie wadau wa huku tunafahamiana.
Tunajua familia flani inasifa ya usomi (wengi wamebukua , ziko familia walevi sana , wako wavivu kupindukia , na aidha zipo familia za wenye matusi (watukanaji waliobobea)
Pia ziko familia za mafyatu .

Niliyoilenga leo kuisemea ni moja ya familia yenye kumiliki fani mbili , ya ufyatu na mitusi .
Kimaono yasemekana familia hii leo mfano pakitokea shindano la kupata familia iongozayo kwa Ufyatu & Matusi , barani Africa basi hii ingeongoza.
Au ikikosa ubingwa wa Bara, isengekosa ubingwa wa kusini mwa Sahara.

Hapa nikuachie mfano mdogo wa moja ya matukio ya familia hii .
Wakati flani palitokea wanafamilia wameenda kupeleka posa ya Kijana wao aliyekua anahitaji kuoa.
Kwa kujielewa tabia zao , siku hiyo walijiwekea mkakati wa kutotumia lugha chafu huko ukweni waendako, kuzingatia unyeti wa agenda waliyonayo mezani.
Aidha wakajiambia pakitokea ulazima wa kutukana , basi matusi yawe mapolemapole.
Msafara uliwahusisha Baba, Mama , Kijana (muoaji) Dada (wa muoji).

Na hivi ndivyo ilivyojiri walipofika ukweni.
Katikati ya maongezi Dadaake binti wa muolewa alileta chai kwa wageni, bahatimbaya akasahau kijiko cha sukari , kijana muoaji hilo likamkera ;-
"Ndiyo nini sasa! Kutuletea sukari bila kijiko! Unataka tukorogee Mb*o?" Akadakia Baba mtu , (Babake muoaji akimwambia kijana wake) :-
"Nyamaza Mbwa wewe! Ma.t.ako wee! Ndiyo maana mtoto wa kahaba wee!"
Akadakia Dadaake muoaji :-
"Uuss kimya! Nyamazeni k'nina zenu! Mnat**bw* nyie! Kimya , kwani hapa tumefata kijiko au Kei? (akitaja kwa majina asilia).
Akadakia Mama wa muoji ;-
"Sasa ndiyo mmefanya nini? Tuliambizana nini kuhusu matusi? Mamaezenu! Hapa leo tukimpata huyu mke basi mje mnile tigo (akisema kwa lugha sahihi )

Nimemaliza.
 
hahahah uuuuuwii Judgement waoaji wameharibu kila kitu aisee
 
Last edited by a moderator:
duh! sijui ilikuwaje maana... Nahisi wakimpata mke siku ya harusi bwana harusi atafanya hivi hadharani...



Daddaddeck!
Hii makauzu wengi wa Bongo hawaiwezi ! Makauzu wa Ulaya ndy yao hii !
 
hahahah uuuuuwii Judgement waoaji wameharibu kila kitu aisee

Nisaidie kuwapa warnin to the families who makes abusive languages to their relatives , neighbors or else.
 
Last edited by a moderator:
hao wamezidi,

hujawahi kushtuka ukaropoka tusi?lakini ukiwa kwa wazazi subuthu
 
Khaa!
wewe Judgement si kuna post ulisema upo Nairobi,kilalo kinakusumbua?
Muongeze huyo dada amsaidie YNNAH!

Umeniacha hoi! Niulize whay?
Ni kweli niliwahitoa post ya kuteswa kilalo ,bt it's lon time ago!
Ilikua Dec last year ndiyo nilikua Nrb , nearly a year pungufu kidogo , wewe bado unakumbuka!
Wee kiboko!
Shkamoo!
 
Last edited by a moderator:
Ukisiikia familia iliyo namajanga ndo hii
kweli umleavyo ndivyo akuavyo
 
chaaa !!!!! niongee kichaga leo Yesu na maria!
Kristo tumaini letu! mweeee
 
Hiyo familia ni noma, ila huyo babaharusi noma zaidi....na atakua alimwambia bi harusi asivae kitu ndani nae akafanya hivyo bila kujua kuna surprise gani..... Bonge la surprise hilo dadadeki
 
hahahahah huyu sio Bishanga !??

Yaani Slave tangu itumwe hii photo usubui ulikua humjamstukia tu? Mi nilimshtukia mapemaaa kwmb ndy yeye!
Semea mi tunaheshmiana nae sana Bishanga!
Ingekuwa si rahisi nimsanue!
Ungeni pm kunishauri kumsanua ningekwambia msare tu.
Sasa kw vl ushamsanua basi tena!
Na huyo demu anaefyonzwa ni "Ze msaidizi muhtasi"
 
Last edited by a moderator:

Dah umenikamataaaaaaa
 
mzee mtata sana hasa kwa dogo dogo anaweza uza nyumba na shamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…