Famili inayosemekana kuongoza kwa ....... (Fuatana nami ndani)

Famili inayosemekana kuongoza kwa ....... (Fuatana nami ndani)

Yaani Slave tangu itumwe hii photo usubui ulikua humjamstukia tu? Mi nilimshtukia mapemaaa kwmb ndy yeye!
Semea mi tunaheshmiana nae sana Bishanga!
Ingekuwa si rahisi nimsanue!
Ungeni pm kunishauri kumsanua ningekwambia msare tu.
Sasa kw vl ushamsanua basi tena!
Na huyo demu anaefyonzwa ni "Ze msaidizi muhtasi"

The secretary!? Kwani walifanya harusi na Bishanga au walibebana tu!!?
 
Last edited by a moderator:
Nisaidie kuwapa warnin to the families who makes abusive languages to their relatives , neighbors or else.
siwezi wapa warning ujue hata mie huto ntoto wa kike namzimikia so nataka waharibu nijinyakulie
 
Huku uswahilini tuishiko , wenyewe sie wadau wa huku tunafahamiana.
Tunajua familia flani inasifa ya usomi (wengi wamebukua , ziko familia walevi sana , wako wavivu kupindukia , na aidha zipo familia za wenye matusi (watukanaji waliobobea)
Pia ziko familia za mafyatu .

Niliyoilenga leo kuisemea ni moja ya familia yenye kumiliki fani mbili , ya ufyatu na mitusi .
Kimaono yasemekana familia hii leo mfano pakitokea shindano la kupata familia iongozayo kwa Ufyatu & Matusi , barani Africa basi hii ingeongoza.
Au ikikosa ubingwa wa Bara, isengekosa ubingwa wa kusini mwa Sahara.

Hapa nikuachie mfano mdogo wa moja ya matukio ya familia hii .
Wakati flani palitokea wanafamilia wameenda kupeleka posa ya Kijana wao aliyekua anahitaji kuoa.
Kwa kujielewa tabia zao , siku hiyo walijiwekea mkakati wa kutotumia lugha chafu huko ukweni waendako, kuzingatia unyeti wa agenda waliyonayo mezani.
Aidha wakajiambia pakitokea ulazima wa kutukana , basi matusi yawe mapolemapole.
Msafara uliwahusisha Baba, Mama , Kijana (muoaji) Dada (wa muoji).

Na hivi ndivyo ilivyojiri walipofika ukweni.
Katikati ya maongezi Dadaake binti wa muolewa alileta chai kwa wageni, bahatimbaya akasahau kijiko cha sukari , kijana muoaji hilo likamkera ;-
"Ndiyo nini sasa! Kutuletea sukari bila kijiko! Unataka tukorogee Mb*o?" Akadakia Baba mtu , (Babake muoaji akimwambia kijana wake) :-
"Nyamaza Mbwa wewe! Ma.t.ako wee! Ndiyo maana mtoto wa kahaba wee!"
Akadakia Dadaake muoaji :-
"Uuss kimya! Nyamazeni k'nina zenu! Mnat**bw* nyie! Kimya , kwani hapa tumefata kijiko au Kei? (akitaja kwa majina asilia).
Akadakia Mama wa muoji ;-
"Sasa ndiyo mmefanya nini? Tuliambizana nini kuhusu matusi? Mamaezenu! Hapa leo tukimpata huyu mke basi mje mnile tigo (akisema kwa lugha sahihi )
Nimemaliza.
Piga ua hii kapo ni Filipo na marejesho.....ndo zao dadadadeki
 
Last edited by a moderator:
duh! sijui ilikuwaje maana... Nahisi wakimpata mke siku ya harusi bwana harusi atafanya hivi hadharani...


862829_Weddin_jpgc959a12dd8b539565ab7bf3fea8a962d.jpg

Bila shaka ni maigizo ya Kinaigeria haya.
 
Back
Top Bottom