Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
UONGOZI huanzia kwenye ngazi ya familia, Ukoo Jamii na hata Taifa KWA ujumla.
Jinsi Taifa linavyojiongoza ni matokeo ya UONGOZI bora kwenye ngazi ya familia , kama UONGOZI//makuzi /maelezo ni ya hovyo Taifa hilo ni la hovyo , halieleweki , halithamini, halihuishi ,halijali ,halitilii maanani mambo ya msingi ndiyo ambavyo familia ilivyo.
Tuongeze nguvu Kubwa kwenye malezi katika ngazi ya familia ili kuwapunguzia matatizo na Changamoto viongozi wa ngazi znazofuata baada ya ngazi ya familia .
Ni jukumu lako Wewe Baba , mama ,kaka dada , Kulea vizuri Ili kujenga Taifa Lenye weledi , Linalopenda haki, Linalochukia Rushwa, unyonyaji ,uonevu .
Lenye amani, Umoja Pamoja na mshikamano , lenye kufuata sheria taratibu Pamoja na kanuni zinazowekwa na mamlaka.
Mamlaka husika zimekuwa zikishughulikia Matokeo , kutilia nguvu Kubwa na mkazo na kumsahau chanzo cha yote ni ngazi ya familia , Nguvu Kubwa ikielekezwa kwenye ngazi ya familia Tutakuwa na familia bora , zitakazozaa Koo bora , Jamii bora/Kijiji Na Taifa Bora KWA ujumla .
Ni hayo tuu.