Familia: Hayati Magufuli aliongoza sala na nyimbo kabla ya kifo chake, alipakwa mafuta matakatifu. Pia aliombewa na Mufti

Kama ni hiki mbona Hitler alifanya zaidi ya haya kwa Raia wake je ilitosha kumfanya kuwa mtu mwema? Idd Amini je unajua kwamba uchumi wa Uganda ulikua vizuri kipindi Cha Amin kuliko hata baada ya kumpindua?? Inamfanya kuwa mtu mwema?

JPM anaweza kuwa kiongozi mzuri kwa waliokubalia uongozi wake ila kusema eti kujenga barabara ndio kupeleka mbinguni ni kupotoshana. Kama ukifanya yote hayo ila ulilala na mke wa mtu imakula kwako. Kama ukifanya yote hayo ukabariki mtu kumiminiwa risasi 16 then mbinguni utapasikia tu.
 
Kungoza Sala bila kuwaomba msamaha aliowakosea ni kazi Bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…