Mm nalia na jobless... vichwa mda huu vishapata moto! Hii nchi vijana wake waoga tuMama ntilie, machinga, bodaboda na dada poa wamezeeka na wameanza kupata wajukuu.
Hivi sasa mitaani kuna wazazi ambao ktk maisha yao hawajawahi kulala chumbani. Tangu wazaliwe mpk wamepata watoto wameishi kwenye chumba kimoja, choo cha nje na bafu la passport (mtu anaoga huku akisalimiana na wapita njia).
Kuna watoto wadogo (teenagers) ambao babu zao ni bodaboda, machinga na mama ntilie. Watoto hawa hawajawahi kuvaa nguo ya elfu 10.
Hii ni hatari sana. Kama taifa kuna haja ya hatua madhubuti kuchukuliwa ili kuinusuru hali hii.
Kutotawalika kwa nchi ya Haiti chanzo chake ni umaskini wa watu wake.
Bado kuna tume imeundwa Jana ya "kuangalia Kodi", very soon watakuja na mzigo wa Kodi balaa, tujiandae kisaikolojiaUmaskini ni kweli unaongezeka kwa Kasi ila sio kw kiwango tajwa
Sijakuelewaaaa una maana ganiπππππMama ntilie, machinga, bodaboda na dada poa wamezeeka na wameanza kupata wajukuu.
Hivi sasa mitaani kuna wazazi ambao ktk maisha yao hawajawahi kulala chumbani. Tangu wazaliwe mpk wamepata watoto wameishi kwenye chumba kimoja, choo cha nje na bafu la passport (mtu anaoga huku akisalimiana na wapita njia).
Kuna watoto wadogo (teenagers) ambao babu zao ni bodaboda, machinga na mama ntilie. Watoto hawa hawajawahi kuvaa nguo ya elfu 10.
Hii ni hatari sana. Kama taifa kuna haja ya hatua madhubuti kuchukuliwa ili kuinusuru hali hii.
Kutotawalika kwa nchi ya Haiti chanzo chake ni umaskini wa watu wake.
CCM ni janga la taifa namba moja. Mzanzibar hatoshi 2025.Mama ntilie, machinga, bodaboda na dada poa wamezeeka na wameanza kupata wajukuu.
Hivi sasa mitaani kuna wazazi ambao ktk maisha yao hawajawahi kulala chumbani. Tangu wazaliwe mpk wamepata watoto wameishi kwenye chumba kimoja, choo cha nje na bafu la passport (mtu anaoga huku akisalimiana na wapita njia).
Kuna watoto wadogo (teenagers) ambao babu zao ni bodaboda, machinga na mama ntilie. Watoto hawa hawajawahi kuvaa nguo ya elfu 10.
Hii ni hatari sana. Kama taifa kuna haja ya hatua madhubuti kuchukuliwa ili kuinusuru hali hii.
Kutotawalika kwa nchi ya Haiti chanzo chake ni umaskini wa watu wake.
Point kubwa sana tangu nimejiunga na JamiiForums. Sijui itakuwaje mbeleniMama ntilie, machinga, bodaboda na dada poa wamezeeka na wameanza kupata wajukuu.
Hivi sasa mitaani kuna wazazi ambao ktk maisha yao hawajawahi kulala chumbani. Tangu wazaliwe mpk wamepata watoto wameishi kwenye chumba kimoja, choo cha nje na bafu la passport (mtu anaoga huku akisalimiana na wapita njia).
Kuna watoto wadogo (teenagers) ambao babu zao ni bodaboda, machinga na mama ntilie. Watoto hawa hawajawahi kuvaa nguo ya elfu 10.
Hii ni hatari sana. Kama taifa kuna haja ya hatua madhubuti kuchukuliwa ili kuinusuru hali hii.
Kutotawalika kwa nchi ya Haiti chanzo chake ni umaskini wa watu wake.
Nchi itakuwa haikaliki mkuuPoint kubwa sana tangu nimejiunga na JamiiForums. Sijui itakuwaje mbeleni