Mama ntilie, machinga, bodaboda na dada poa wamezeeka na wameanza kupata wajukuu.
Hivi sasa mitaani kuna wazazi ambao ktk maisha yao hawajawahi kulala chumbani (bedroom). Tangu wazaliwe mpaka wamepata watoto wameishi kwenye chumba kimoja, choo cha nje na bafu la passport (mtu anaoga huku akisalimiana na wapita njia).
Kuna watoto wadogo (teenagers) ambao babu zao ni bodaboda, machinga na mama ntilie. Watoto hawa hawajawahi kuvaa nguo ya elfu 10.
Hii ni hatari sana. Kama taifa kuna haja ya hatua madhubuti kuchukuliwa ili kuinusuru hali hii.
Kutotawalika kwa nchi ya Haiti chanzo chake ni umaskini wa watu wake.