Familia iliyopoteza watu wanne kwa mpigo ndani ya muda mfupi

Familia iliyopoteza watu wanne kwa mpigo ndani ya muda mfupi

Hata kama kuna mtu anatetea ugali wake naomba ajaribu kuvaa viatu vya huyo Anna.
 
Hii Familia tuiombee sana!Trauma wanapita watoto na ndugu haiwezi kubebeka
14/1/2021 RIP mama Delphina
16/1/2021 RIP shangazi wa Delphina
23/1/2021 RIP baba Delphina
7/2/2021 RIP Delphina
9/2/2021 RIP mume wa Delphina
9/2/2021 RIP Shemeji wa Delphina
10/2/2021 Dereva wa Delphina

Watu bado mahitaji ushahidi gani kusadiki hali hii?
 
Unalipwa pesa ngapi kusambaza uzushi
Watanzani tuchape kazi tuachane na mazezeta wa bavicha
 
Hii Familia tuiombee sana!Trauma wanapita watoto na ndugu haiwezi kubebeka
14/1/2021 RIP mama Delphina
16/1/2021 RIP shangazi wa Delphina...
Aisee Mungu tu atusaidie, Delphina aliporudi kutoka Moshi yamkini aliendelea na kazi yake kama kawaida hapo Sua, sijui alijichanganya na watu wangapi....ooh God have a mercy with us[emoji120][emoji120]
 
Hizi ni taarifa za watu maarufu,je wale ambao siyo maarufu? Kwa kifupi watu wengi wanakufa.

Tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona,nawa mikono,usipeane mikono na mtu,kaa mbali,vaa barakoa.
Usiende sehemu zenye watu wengi.
 
Back
Top Bottom