nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
nimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua.
Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu wangu ya kusimamia mtihani wa form 4 ndipo nikapata mtaji wa kufungua goli la salon.
Kwa nini sijaomba?
1. kazini kwetu ukiomba serikalini unaitwa msaliti kiukweli tunalipwa kila mwezi japo ni average salary.
2. mwaka jana nilikua sijapata hata kamtaji wa biashara ko nilihisi nikipoteza ajira hii nitateseka upya. (huko nyuma nilisota adi vibarua).
Kuna mwalimu Leo kaenda intaview bila ruhusa na boss amejua (nimesikia tetesi kua ataletwa ticha mpya.)
3. sina uhakika kama ningepata Yan probability ni ndogo mno. masomo yangu ni arts.
4.nitaomba awamu ijayo nikiwa nina msingi imara ya pesa.
vip hapo wakuu nimekosea?