Familia imenijia juu kisa sijaomba ajira za ualimu serikalini ambazo kuna interview kuanzia Leo

Kwa hiyo mkuu unataka nifanyaje kulingana na uzi wangu? japokua upo kweli mkuu
Hapo ishi kama movie coworker sio rafiki yako usimshirikishe mtu mipango yako fanya vitu vyako kimya kimya

Opportunity come in a walking close omba hyo nafasi hizo Ndio opportunity zenyewe weka vitu vyako private hide hata hao coworkers wasione status zako hzo ni cctv camera any time zinakuua
 
Kafanye interview member mwenzetu ukaanze safari ya kutafuta uhuru wa kiuchumi.
 
nimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua.

Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu wangu ya kusimamia mtihani wa form 4 ndipo nikapata mtaji wa kufungua goli la salon.

Kwa nini sijaomba?

1. kazini kwetu ukiomba serikalini unaitwa msaliti kiukweli tunalipwa kila mwezi japo ni average salary.

2. mwaka jana nilikua sijapata hata kamtaji wa biashara ko nilihisi nikipoteza ajira hii nitateseka upya. (huko nyuma nilisota adi vibarua).

Kuna mwalimu Leo kaenda intaview bila ruhusa na boss amejua (nimesikia tetesi kua ataletwa ticha mpya.)

3. sina uhakika kama ningepata Yan probability ni ndogo mno. masomo yangu ni arts.

4.nitaomba awamu ijayo nikiwa nina msingi imara ya pesa.
vip hapo wakuu nimekosea?
N
 
Kazi ambayo haina uhuru binafsi sio kazi mdogo wetu alafu mshahara sio msaada ni jasho lako ni haki yako..

Hapo ulipo Upo kwaajili ya kukamilisha malengo ya mtu mwingine, mmejengewa picha kwamba huo mshahara ni msaada sio haki yako umenyanganywa na akili mkawa wa tumwa kwa kukosa uhuru binafsi mnaishi kwa wasiwasi

Wazazi wapo sahihi hapo kuna siku utazushiwa uongo wowote na atakuja mwenzio.
Kwa hio huko serikalini I ameshapata
 
nimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua.

Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu wangu ya kusimamia mtihani wa form 4 ndipo nikapata mtaji wa kufungua goli la salon.

Kwa nini sijaomba?

1. kazini kwetu ukiomba serikalini unaitwa msaliti kiukweli tunalipwa kila mwezi japo ni average salary.

2. mwaka jana nilikua sijapata hata kamtaji wa biashara ko nilihisi nikipoteza ajira hii nitateseka upya. (huko nyuma nilisota adi vibarua).

Kuna mwalimu Leo kaenda intaview bila ruhusa na boss amejua (nimesikia tetesi kua ataletwa ticha mpya.)

3. sina uhakika kama ningepata Yan probability ni ndogo mno. masomo yangu ni arts.

4.nitaomba awamu ijayo nikiwa nina msingi imara ya pesa.
vip hapo wakuu nimekosea?
Komaa na ndoto zako...Maisha ya walimu huku vijijin tunayaona ni
huzuni
 
4.nitaomba awamu ijayo nikiwa nina msingi imara ya pesa.
vip hapo wakuu nimekosea?
Usiombe wewe komaa huko huko ajira za Serikali siku hizi zimekua za ku-Bet unaweza ukatia kitumbua mchanga ukaingia matatizoni km huko unapiga kazi komaa huko huko
 
3. sina uhakika kama ningepata Yan probability ni ndogo mno. masomo yangu ni arts.
Usingepata hizi ajira zimeshakua za kubet uwezekano wa kupata ni mdogo sana, kwa hio km umejishikiza sehemu komaa huko huko usije ukajivuruga utajuta
 
Kwa vip mkuu
Sikuwai kumuelewa brother angu mkubwa mwaka 2006 akiwa mwalimu tegemeo wa physics na mathematics na akiwa ametumikia ajira serikalini two years..

Alienda kusoma ELIMU ya juu ya fani aliyo IPENDA baada ya kumaliza hakurudi kituo Cha kazi akawa ameacha kazi.

Ndugu,jamaa,wazazi,marafiki, watu Baki E.T.C hawakumuelewa akaanzisha safari ya kujiajir (ujasiliamali,) now yupo vizuri SEMA wazazi Wana mentality kua ukijiajir hautakua na kiinua mgongo so for years tumeaminishwa hivyo soma uajiriwe...

Huyu brother angu ni moja ya watu walio KICK LIFE & ODDS.
 
Kwa hio huko serikalini I ameshapata
Sasa atapataje bila kuomba... yan muajiri wako anakuzuia kuomba nafasi nyingine na ukiomba unafukuzwa kazi

Na hauwezi kusema “siombi nikiomba sito pata” ni mawazo dhaifu na mtu anaye waza hvyo huwa ni mdhaifu hata kwenye utendaji binafsi.
 
nimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua.

Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu wangu ya kusimamia mtihani wa form 4 ndipo nikapata mtaji wa kufungua goli la salon.

Kwa nini sijaomba?

1. kazini kwetu ukiomba serikalini unaitwa msaliti kiukweli tunalipwa kila mwezi japo ni average salary.

2. mwaka jana nilikua sijapata hata kamtaji wa biashara ko nilihisi nikipoteza ajira hii nitateseka upya. (huko nyuma nilisota adi vibarua).

Kuna mwalimu Leo kaenda intaview bila ruhusa na boss amejua (nimesikia tetesi kua ataletwa ticha mpya.)

3. sina uhakika kama ningepata Yan probability ni ndogo mno. masomo yangu ni arts.

4.nitaomba awamu ijayo nikiwa nina msingi imara ya pesa.
vip hapo wakuu nimekosea?
Kwa utetezi wako namba moja inawezekana ndugu zako wapo sahihi kusema hujitambui.
 
Back
Top Bottom