Hapo ishi kama movie coworker sio rafiki yako usimshirikishe mtu mipango yako fanya vitu vyako kimya kimyaKwa hiyo mkuu unataka nifanyaje kulingana na uzi wangu? japokua upo kweli mkuu
Nnimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua.
Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu wangu ya kusimamia mtihani wa form 4 ndipo nikapata mtaji wa kufungua goli la salon.
Kwa nini sijaomba?
1. kazini kwetu ukiomba serikalini unaitwa msaliti kiukweli tunalipwa kila mwezi japo ni average salary.
2. mwaka jana nilikua sijapata hata kamtaji wa biashara ko nilihisi nikipoteza ajira hii nitateseka upya. (huko nyuma nilisota adi vibarua).
Kuna mwalimu Leo kaenda intaview bila ruhusa na boss amejua (nimesikia tetesi kua ataletwa ticha mpya.)
3. sina uhakika kama ningepata Yan probability ni ndogo mno. masomo yangu ni arts.
4.nitaomba awamu ijayo nikiwa nina msingi imara ya pesa.
vip hapo wakuu nimekosea?
Kwa hio huko serikalini I ameshapataKazi ambayo haina uhuru binafsi sio kazi mdogo wetu alafu mshahara sio msaada ni jasho lako ni haki yako..
Hapo ulipo Upo kwaajili ya kukamilisha malengo ya mtu mwingine, mmejengewa picha kwamba huo mshahara ni msaada sio haki yako umenyanganywa na akili mkawa wa tumwa kwa kukosa uhuru binafsi mnaishi kwa wasiwasi
Wazazi wapo sahihi hapo kuna siku utazushiwa uongo wowote na atakuja mwenzio.
Komaa na ndoto zako...Maisha ya walimu huku vijijin tunayaona ninimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua.
Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu wangu ya kusimamia mtihani wa form 4 ndipo nikapata mtaji wa kufungua goli la salon.
Kwa nini sijaomba?
1. kazini kwetu ukiomba serikalini unaitwa msaliti kiukweli tunalipwa kila mwezi japo ni average salary.
2. mwaka jana nilikua sijapata hata kamtaji wa biashara ko nilihisi nikipoteza ajira hii nitateseka upya. (huko nyuma nilisota adi vibarua).
Kuna mwalimu Leo kaenda intaview bila ruhusa na boss amejua (nimesikia tetesi kua ataletwa ticha mpya.)
3. sina uhakika kama ningepata Yan probability ni ndogo mno. masomo yangu ni arts.
4.nitaomba awamu ijayo nikiwa nina msingi imara ya pesa.
vip hapo wakuu nimekosea?
Usiombe wewe komaa huko huko ajira za Serikali siku hizi zimekua za ku-Bet unaweza ukatia kitumbua mchanga ukaingia matatizoni km huko unapiga kazi komaa huko huko4.nitaomba awamu ijayo nikiwa nina msingi imara ya pesa.
vip hapo wakuu nimekosea?
Usingepata hizi ajira zimeshakua za kubet uwezekano wa kupata ni mdogo sana, kwa hio km umejishikiza sehemu komaa huko huko usije ukajivuruga utajuta3. sina uhakika kama ningepata Yan probability ni ndogo mno. masomo yangu ni arts.
Sikuwai kumuelewa brother angu mkubwa mwaka 2006 akiwa mwalimu tegemeo wa physics na mathematics na akiwa ametumikia ajira serikalini two years..Kwa vip mkuu
Sasa atapataje bila kuomba... yan muajiri wako anakuzuia kuomba nafasi nyingine na ukiomba unafukuzwa kaziKwa hio huko serikalini I ameshapata
Kwa utetezi wako namba moja inawezekana ndugu zako wapo sahihi kusema hujitambui.nimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua.