Familia kubwa kuliko zote nchini Uingereza inayoishi nyumba moja (watoto 22)

Waambie Hawana akili..
Hahaha wewe mwenye akili unaishi stoo kule buza
 
Child benefit inaongezeka kadri ya mzigo wa watoto, hapo watoto wao wakubwa unakuta wapo kwenye jobseekers allowance, hawana kazi lakini kila wiki wanapokea hela tokea serikalini! Matibabu bure NHS, Wasituzuge!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Na Magufuli akikushauri unampinga
Zuzu akikushauri, ukafuata ushauri wake, wewe unakuwa ni Zuzumagic.
Jitu linakwambia uzae wakati huohuo kafanya MAISHA yawe magumu Sana, haajiri, hapandishi watu vyeo Wala madaraja, hamna pisho, mtaani kaua biashara, kaua kilimo yaani kaua uchumi kwa ujumla wake, hai watoto utawalisha Nini?
 
Nisingekuwa muoga wa maisha a.k.a ningekuwa na mihela,sasa hivi ningekuwa walau na watoto 4 na mimba moja[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hahahahah wanne wachache hivyo mi nilitaka watoto 5 kwa hali ya sasa ila ningekuwa na njia ya kuingiza 1B kwa mwaka ningezaa watoto wengi sana!
Hata 10 ingenipendeza ningezaa tu!
 
Lockdown sijui ilikuwa aje? Uzuri wana biashara ya vyakula, pengine haikuathirika sana, ila ulaji wa watoto wasioenda popote, pesa ziliteketea, achilia mbali vurugu hapo ndani. Na bado bibie akabeba mimba! Akili haiko sawa hapa!
Kama ilivyo starehe yako kunywa Balimi baridi wao starehe yao ni kuona familia inatanuka zaidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…