Underthesea
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 327
- 882
- Thread starter
-
- #81
Hapana, hata wenye mtoto mmoja wanaweza kupata. Child benefits ziko Kwa ajili ya watoto wote under age.Afu wanaprogram ya CHILD BENEFIT kwa wenye watoto wengi.
Wakija uku wanatuletea habar za uzazi wa mpango
umeaza bujibujiSafi Sana, wazungu wanawaambia watu weusi wasizae, wao wanatotoa watoto Kama mjusi
Asingefika hukuHuyo mama angekuwa anazaa kwa operesheni, sijui mishono kwenye hilo tumbo ingekuwaje!
Samahani, nawaza tu
2azungu hawana haja ya kutuletea vasectomy na manjia mengine ya kubaradhuli ku control population, bado tuna ardhi kubwa Sana haujaendelezwa.umeaza bujibuji
kwetu hapa afrika hasa Tanzania kuna kitu inaitwa child benefit kutoka serikalini
Zamani tulikua nauwezo huo unazaa sana nakuoa wake kibao kwakua utawatumia hao wanao nawakezetu kama cheap labour mashambani mwako mwetu
Sikuhizi shamba gani utawapeleka michango mashuleni simchezo
Acha tu uzazi wampango ushamiri mana ukizuia hiyo kwetu hapa na hatujastarabika nibalaa itakua
Mungu atulinde
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
utaendelezaje nchi uwezo wa kuwekeza kwenye elimu huna harafu unataka kuzaaa wapi nawap usiione China ile wamepitia2azungu hawana haja ya kutuletea vasectomy na manjia mengine ya kubaradhuli ku control population, bado tuna ardhi kubwa Sana haujaendelezwa.
Wasomi na wasio soma wote Ni mazombie ndani ya nchi hii
Ya baba na mama mmoja kama Hawa?Duh yaani wazungu bana mbona familia ndogo sana kibongo bongo usukumani huko
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Wana mawilinadhani gari wanayotumia ni coaster asee. au yutong.