Familia mbili za anunaki ndio zinasumbua dunia hii hadi leo

Yeah yaani ni full confusion over confusion, but keep in mind that Satan's plan is to confuse people and once you become confused, it's easy to be driven away from what you believe. Let's be careful dude
Hahahahaha..Mkuu mie acha nipokee yotee kichwa kitaamua ..ila huwa napenda na kutamani kujua hayo yanayofichwa kwann yafichwe
 
Ni story tu katika Sumeria Manuscripts , Igigi walikuwa wanaishi katika Sayari ya Mars , wakawa wanatamani viumbe (Binadamu) wa duniani hivyo walishuka Igigi 200 Hawa walikuwa kama Askari wa ANUNAKI wakiongozwa na Shemzay ambaye Biblia imemtaja kama Shemzaya

Hawa waliwateka wanawake 200 na kulala nao na kuwapiga mimba
 
Kwahiyo hawa Igigi ni tofauti na waliotoka Nubiru ambao ni Anunak right? Na kama ni tofauti, je tofauti yao ni nini? Na je bado wanaishi huko Mars mpaka sasa?
Nitashukuru kwa jibu lako basing on what I have asked mkuu
 
Sio tofauti, Igigi walikuwa ni Anunaki ambao ni Askari waliokuwa katika kituo Cha Anga huko Mars , wote ni Anunaki ila wao waliitwa Igigi kutokana na Kazi zao
 
Wewe umejuaje.......au na wewe umeadithiwa na binadamu wenzio???
 
Kuna wanaosema USA ndiye Mungu wa Hamas, iSIS, Hezbollah..
 
Sio tofauti, Igigi walikuwa ni Anunaki ambao ni Askari waliokuwa katika kituo Cha Anga huko Mars , wote ni Anunaki ila wao waliitwa Igigi kutokana na Kazi zao
Kwahiyo mkuu from your point of learning, the whole universe kuna jamii mbili tu so far ambazo ni Anunak na binadamu tu au hizo Sumerian manu scripts zimeelezea na jamii nyingine pia?
 
Hivi ni yule mtoto wa Baba wa Taifa na mambo yake ya Nibiru bado yapo tu? hajaacha kuyasadiki tu ? kuna Changamoto kwa kweli, nguo zimejaa ndani ya kabati hazijui huko nje kuna nini?
 
Kwahiyo mkuu from your point of learning, the whole universe kuna jamii mbili tu so far ambazo ni Anunak na binadamu tu au hizo Sumerian manu scripts zimeelezea na jamii nyingine pia?
Hazielezi Jamii nyingine , ila kwa uchache katika vita kati ya TIAMAT na hao Miungu wengine alisaidiwa na Majini ambao waliitwa HELPER

So, inawezekana kabisa Jamii nyingine zipo ila NIBIRU ilikuwa blessed kuliko Sayari nyingine

Na Cha kuongezea ni kwamba hizi ,TIAMAT, Lahamu ,Lahmu n.k zote ni Sayari , maana yake Miungu ni Sayari
 
Hakuna Mungu huyo unayemsema, hizo zote ni stories za watu tu.

Ndiyo maana stories hazina uthibitisho wala logical consistency.

Hizo stories za Gilgamesh tumezisoma tangu tuko Sekondari. Leta habari mpya ambazo hazijulikani.
 
Sasa mbona miaka hii hawa extraterrestrial beings hawatutembelwi tena? Au ndio kusema missions zao zishakona na hawaoni haja ya kuja tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…