Familia mbili za anunaki ndio zinasumbua dunia hii hadi leo

Kwa mujibu wa nyaraka za Sumeria , zinazungumzia namna Binadamu alivyotokea , Binadamu alitengenezwa maabara (Genetic engineering) na kazi yake ilikuwa ni kufanya kazi kwenye migodi ya dhahabu

Familia 2 zilizokuja duniani ndizo Hadi Leo tunaziabudu baada ya wao kuondoka na kutuachia mambo ambayo yanatuvuruga Hadi Leo

Hizi familia wao pia wanakufa japo wanaishi miaka mingi sana , na kufa huku ndiko kulimshangaza Mfalme Gilgamesh wa huko Sumeria ya zamani na kuuliza Hadi Miungu inakufa sababu yeye Mzazi wake Mmoja ambaye ni Mama yake alikuwa ni ANUNAKI ambao wao waliwaita Miungu

Familia hizo kuu 2 ni ; familia ya kwanza ni ya LORD ENKI ambaye majina yake mengine kutokana na vita ya kifamilia aliitwa LUCIFER, na pia yeye kwa kuwa alihusika kumtengeneza Binadamu pia alijiita muweza wa yote (Omnipotent) , huyu Lord Enki mtoto wa Mfalme wa NIBIRU alikuwa na watoto ambao ni MARDUK ambaye baadae alijiita Mungu Ra , huko Misri , Nubia na Babeli aliitwa hivyo Mungu Ra na kwa mujibu wa Sumeria text huyu ndiye mjenzi wa mnara wa Babeli ambaye alitaka kufungua malango ya Mbinguni (NIBIRU) ili wanadamu waende , alishindwa sababu wenzake walimzuia wakiongozwa na ENLIL

Pia Lord Enki alikuwa na mtoto aitwaye NINGSHIZDA ambaye yeye aliitwa THOTH au IBILISI Hawa majina walipewa na wapinzani wao ambao ni Familia ya ENLIL

Familia ya pili, ni familia ya LORD ENLIL huyu alikuwa mdogo wake Lord Enki lakini kwa Mama mwingine na yeye ndiye alikuwa mrithi wa kiti cha ufalme huko NIBIRU , huyo ENLIL ndiye Alimfanya Ibri um (Ibrahim ) kuwa Baba wa Imani ila aabudiwe jina lingine anajulikana kama YAHWEH au ELOHIM , huyu kwa Sasa kwenye Biblia ndiye anajulikana kama Mungu (Walokole na Wakiristu huwaambii kitu hapa) , huyu alikuwa na watoto kama NINURTA na NANNAR ambaye huyu NANNAR baadae ndiye akawa ALLAH kwa waislam

Hizi familia mbili ndio chanzo Cha migogoro ya Imani hapa duniani ,

Pia hapo kale huyo huko Misri /Khemet kulikuwa na Miungu ilijulikana kama OSIRIS huyu Osiris ndiye Baba wa Horus ambaye Horus ndiye YESU wa Sasa

Sikulazimishi uniamini , ila nakulazimisha utafute maarifa ujue kwa undani kuhusu Asili ya mwanadamu na Asili ya Miungu na Dini

Mungu wa kweli yupo ambaye ni FATHER OF ALL au CREATOR OF ALL ambaye hata Hawa Miungu na Shetani tunaoimbishwa hawamjui ila kwa uwezo wao sisi tunawaona ni Mungu , pia Sayari yao ya NIBIRU ni Sayari iliyochaguliwa na FATHER OF ALL kujiamlia mambo yake sababu walipigana vita vya kimbingu na kumshinda muasi aliyeitwa TIAMAT

Tuendelee kujifunza ,
Elimu ni Bahari
Awakening...
 
Nadhani ulishawasikia kuwa mvua ikinyesha wakati jua linawaka basi Simba anazaliwa au Mama mjamzito haruhusiwi kula mayai,. Hizo zote hadith zilikuwepo until zakawa proven otherwise. Kwahiyo hata unachoongea kinaweza kuwa story kama zingine mpaka ziwe proven
 
Ziwe proven mara ngapi kamanda Hizi habari za ANNUNAK ni verified katika nchi za Dunia ya kwanza na kuna watafiti wanaenda mpaka site kabisa kushuhudia mabaki ya Migodi ya kale kabisa pamoja na sites zilizokua makao ya hao miungu,
Kote kote Duniani kuna evidence za kazi zao kuanzia Misri,Iraq,India,huko Thailand Sri lanka na Mesoamerica yote,
Mbali zaidi hadi huko zimbabwe na south Africa kote kuna historical sites za hao viumbe!
 
Hakuna Mungu huyo unayemsema, hizo zote ni stories za watu tu.

Ndiyo maana stories hazina uthibitisho wala logical consistency.

Hizo stories za Gilgamesh tumezisoma tangu tuko Sekondari. Leta habari mpya ambazo hazijulikani.
we kilanga ndio mmoja wapo wa uongo humu ndani.
 
Nimechekaaa🤣🤣.asante mleta mada kwa kichekesho chako
 
Movie ni zao
vitabu ni vyao
Media ni zao
Mamlaka ni zao

Kisha lengo baya ni lao!
Kwa nini wasikupotoshe!
 
Kuongeza uelewa tusome vitabu
 
Attachments

Back
Top Bottom