monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hapa unabishana, ila hujui tu.mi nibishane na jiwe thubutuu kabishane na sampo zako,kazi ubishibishi tu mi nakuchana live.
Asante kwa nyongezaHaya na huyo creator nani alimcreate?
Mtoa mada akuje atoe au ajibu haya.Naomba unijibu maswali haya mkuuu
1.kazi ya dhahabu ni ipi kwa hao miungu?
2.kwa nn waliondoka hapa duniani?
3.kwa nini hawawarudi tena kama waliondoka?
4.je dhahabu inayo chimbwa nyakati hizi bado wanakuja kubebe?
5.mtoto wa annunaki alikuwa mfalme akashangaaa mzazi kufa?wakatiti umesema tulitengenezwa?
6.mwanzo wa hao annunaki ni wapi?na nini(orignal of that annunaki creator of the creator)naanisha mwanzo wa maisha kwa huyo mwanzo.
tulia dogo tuliyaa.Hata hapa unabishana, ila hujui tu.
Bado unabishana.tulia dogo tuliyaa.
Elimu ni bahari wakati unatufundisha ushetani?Kwa mujibu wa nyaraka za Sumeria , zinazungumzia namna Binadamu alivyotokea , Binadamu alitengenezwa maabara (Genetic engineering) na kazi yake ilikuwa ni kufanya kazi kwenye migodi ya dhahabu
Familia 2 zilizokuja duniani ndizo Hadi Leo tunaziabudu baada ya wao kuondoka na kutuachia mambo ambayo yanatuvuruga Hadi Leo
Hizi familia wao pia wanakufa japo wanaishi miaka mingi sana , na kufa huku ndiko kulimshangaza Mfalme Gilgamesh wa huko Sumeria ya zamani na kuuliza Hadi Miungu inakufa sababu yeye Mzazi wake Mmoja ambaye ni Mama yake alikuwa ni ANUNAKI ambao wao waliwaita Miungu
Familia hizo kuu 2 ni ; familia ya kwanza ni ya LORD ENKI ambaye majina yake mengine kutokana na vita ya kifamilia aliitwa LUCIFER, na pia yeye kwa kuwa alihusika kumtengeneza Binadamu pia alijiita muweza wa yote (Omnipotent) , huyu Lord Enki mtoto wa Mfalme wa NIBIRU alikuwa na watoto ambao ni MARDUK ambaye baadae alijiita Mungu Ra , huko Misri , Nubia na Babeli aliitwa hivyo Mungu Ra na kwa mujibu wa Sumeria text huyu ndiye mjenzi wa mnara wa Babeli ambaye alitaka kufungua malango ya Mbinguni (NIBIRU) ili wanadamu waende , alishindwa sababu wenzake walimzuia wakiongozwa na ENLIL
Pia Lord Enki alikuwa na mtoto aitwaye NINGSHIZDA ambaye yeye aliitwa THOTH au IBILISI Hawa majina walipewa na wapinzani wao ambao ni Familia ya ENLIL
Familia ya pili, ni familia ya LORD ENLIL huyu alikuwa mdogo wake Lord Enki lakini kwa Mama mwingine na yeye ndiye alikuwa mrithi wa kiti cha ufalme huko NIBIRU , huyo ENLIL ndiye Alimfanya Ibri um (Ibrahim ) kuwa Baba wa Imani ila aabudiwe jina lingine anajulikana kama YAHWEH au ELOHIM , huyu kwa Sasa kwenye Biblia ndiye anajulikana kama Mungu (Walokole na Wakiristu huwaambii kitu hapa) , huyu alikuwa na watoto kama NINURTA na NANNAR ambaye huyu NANNAR baadae ndiye akawa ALLAH kwa waislam
Hizi familia mbili ndio chanzo Cha migogoro ya Imani hapa duniani ,
Pia hapo kale huyo huko Misri /Khemet kulikuwa na Miungu ilijulikana kama OSIRIS huyu Osiris ndiye Baba wa Horus ambaye Horus ndiye YESU wa Sasa
Sikulazimishi uniamini , ila nakulazimisha utafute maarifa ujue kwa undani kuhusu Asili ya mwanadamu na Asili ya Miungu na Dini
Mungu wa kweli yupo ambaye ni FATHER OF ALL au CREATOR OF ALL ambaye hata Hawa Miungu na Shetani tunaoimbishwa hawamjui ila kwa uwezo wao sisi tunawaona ni Mungu , pia Sayari yao ya NIBIRU ni Sayari iliyochaguliwa na FATHER OF ALL kujiamlia mambo yake sababu walipigana vita vya kimbingu na kumshinda muasi aliyeitwa TIAMAT
Tuendelee kujifunza ,
Elimu ni Bahari
Hii inaitwa "WAAFRIKA TUJITAMBUE/TUAMKE!"Haya masomo yamekuwa mengi kipindi hiki dah.
Naomba elimu zaidi mkuu katika hili.Ziwe proven mara ngapi kamanda Hizi habari za ANNUNAK ni verified katika nchi za Dunia ya kwanza na kuna watafiti wanaenda mpaka site kabisa kushuhudia mabaki ya Migodi ya kale kabisa pamoja na sites zilizokua makao ya hao miungu,
Kote kote Duniani kuna evidence za kazi zao kuanzia Misri,Iraq,India,huko Thailand Sri lanka na Mesoamerica yote,
Mbali zaidi hadi huko zimbabwe na south Africa kote kuna historical sites za hao viumbe!