Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Kama kuna uthibitisho wa wosia hakuna haja ya ugomviKaka wa marehemu amesema Wambura Mwita Mampya aliacha wosia kabla ya kufariki akieleza kuwa endapo angefariki dunia angependa kuzikwa akiwa upande wa mke mdogo
Pesa, pesa ,pesa pesa , ma ugomvi ya hivi , kuna namna mirathi inawindwa , wengi hufikiri ku hodhi mwili wa marehem ni kujikatia tiketi ya kupata kipaumbele kwenye miradhi.Haya mambo hapo kinachogombewa ni pole tuu.
Hata mie nahisi hivyoHaya mambo hapo kinachogombewa ni pole tuu.
Mirathi itaenda na sheria wahusika wanajulikana kisheria. Hapo pole zile na status ktk jamii zinawamaliza.Pesa, pesa ,pesa pesa , ma ugomvi ya hivi , kuna namna mirathi inawindwa , wengi hufikiri ku hodhi mwili wa marehem ni kujikatia tiketi ya kupata kipaumbele kwenye miradhi.
Wengi hufikiri hivyoMirathi itaenda na sheria wahusika wanajulikana kisheria. Hapo pole zile na status ktk jamii zinawamaliza.
Lungu alikosea wapi,mbona familia imeshinda kesi na anazikwa South kama Wosia wake usemavyo.Utakuwa "wosia" wa maneno tu siyo official document yaleyale ya Edgar Lungu.
Wabongo na wosia wapi na wapi?
Hakukuwa na wosia wowote wa maandishi licha ya familia kushinda.Lungu alikosea wapi,mbona familia imeshinda kesi na anazikwa South kama Wosia wake usemavyo.
Kwakweli.Haya mambo hapo kinachogombewa ni pole tuu.