Ninazidi kufuatilia siasa zetu Afrika najifunza mengi . Leo nimeona mbunge mmoja akichukuwa fomu ya kuomba kugombea ubunge ambapo pi mdogo wake ni mbunge na waziri.
Sheria haikatazi familia moja kuwa kwenye nafasi za uongozi wa kisiasa. Lakini kutokana na ufinyu wa furusa naona ingekuwa vema kama familia moja imefanikiwa kutoa rais au waziri au mbunge au mkuu wa mkoa basi iwaachie na wengine nafasi angalau na jamii zingine ziguswe na neema ya ustaawi.
Sasa fikiria familia moja iwe na wabunge wawili halafu mmoja waziri.
Anyway ni mawazo yangu tu