Dotto na Kurwa, Magu alimtosa mmoja naona naye ameamua kujitosaNinazidi kufuatilia siasa zetu Afrika najifunza mengi . Leo nimeona mbunge mmoja akichukuwa fomu ya kuomba kugombea ubunge ambapo pi mdogo wake ni mbunge na waziri.
Sheria haikatazi familia moja kuwa kwenye nafasi za uongozi wa kisiasa. Lakini kutokana na ufinyu wa furusa naona ingekuwa vema kama familia moja imefanikiwa kutoa rais au waziri au mbunge au mkuu wa mkoa basi iwaachie na wengine nafasi angalau na jamii zingine ziguswe na neema ya ustaawi.
Sasa fikiria familia moja iwe na wabunge wawili halafu mmoja waziri.
Anyway ni mawazo yangu tu
Kwa haya matusi yako labda familia yako iombe kazi kwenye danguro na sio ubunge. Wewe na familia yako mnafaa kuwa wahudumu wa danguro.Una usenge mwingi sana wewe mama, mimi nilkuwa namjibu aliyeuliza kuwa jee ni sawa familia moja kuwa na waziri mwingine kuwa mbunge wewe unasimamisha kisimi chako kunijibu usenge wako.
Una mawazo ya kipumbavu.
Mama Samia raisBaba Rais
Mke Mbunge
Mtoto Mbunge ni Waziri
Mbona umemuacha mkwe na waziri kivuli Abduli.Mama Samia rais
Wanu Hafidh Ameir mbunge.
Acha kunyooshea Kikwete TUU.
Vipi kama Rais , waziri mkuu, waziri wa Fedha, Gavana Benk kuu, nk wakatoka familia mojaNi familia moja ila kila mmoja ana maisha yake
Fuatilia familia ya Mwinyi utashangaaNinazidi kufuatilia siasa zetu Afrika najifunza mengi . Leo nimeona mbunge mmoja akichukuwa fomu ya kuomba kugombea ubunge ambapo pi mdogo wake ni mbunge na waziri.
Sheria haikatazi familia moja kuwa kwenye nafasi za uongozi wa kisiasa. Lakini kutokana na ufinyu wa furusa naona ingekuwa vema kama familia moja imefanikiwa kutoa rais au waziri au mbunge au mkuu wa mkoa basi iwaachie na wengine nafasi angalau na jamii zingine ziguswe na neema ya ustaawi.
Sasa fikiria familia moja iwe na wabunge wawili halafu mmoja waziri.
Anyway ni mawazo yangu tu
Ni sawa tu ilimradi wanakidhi matakwa na matamanio ya wananchi wao.Ninazidi kufuatilia siasa zetu Afrika najifunza mengi . Leo nimeona mbunge mmoja akichukuwa fomu ya kuomba kugombea ubunge ambapo pi mdogo wake ni mbunge na waziri.
Sheria haikatazi familia moja kuwa kwenye nafasi za uongozi wa kisiasa. Lakini kutokana na ufinyu wa furusa naona ingekuwa vema kama familia moja imefanikiwa kutoa rais au waziri au mbunge au mkuu wa mkoa basi iwaachie na wengine nafasi angalau na jamii zingine ziguswe na neema ya ustaawi.
Sasa fikiria familia moja iwe na wabunge wawili halafu mmoja waziri.
Anyway ni mawazo yangu tu
Una elimu gani Bro.Mwishowe utahoji familia Moja kuwa na maprofesa watatu ni sawa?
Kiufupi, Kuna watu wanaziona Fursa na wanazichangamkia, wakati kuna wengine wanasubiria wagawiwe hizo Fursa kama pipi.
Imeandikwa; Mwenye nacho ataongezewa, na asiye nacho hata kile alichodhani kuwa nacho kitachukuliwa.
Ukiona Fursa PAMBANA, vinginevyo tutaendelea kuwanyokshea vidole wanaziona na kupambana kuzipata.
Mdogo mtu atapandishwa rasmi nafasi ya Majaliwa? Au?Kulwa Mashaka Biteko
Dotto Mashaka Biteko
Kaka mtu anatabiriwa kurithi nafasi ya raisi wa Mawe kwenye baraza lijalo la mawaziri.