Familia na Pesa

Familia na Pesa

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Kuna Familia za wafanya kazi( Waajiriwa.)
Kuna Familia za wafanya Biashara.
Kuna Familia za wafanya Biashara ndogo ndogo
Kuna Familia za Wabangaizaji.
Kuna Familia za Kifundi, Wao ni Mafundi tu.
Na Kuna Familia zisizoeleweka wao wanajiuhusisha na nini...
Sasa Tuna Kuja kwenye ushauri wa hizi Familia
Utasikia.
" Usiolewe na mwanume masikini"
" Usioe mwanamke ambao kwao masikini'
Mmh sasa kwa mfumo huo tutaishi kwa KUVUZIANA.
Leo 15,11.2024
Wale walikua wananidharau Leo wamekuja, Brother usikate Tamaa kwa kile unachokifanya, wale wanao zadhrau mladi wako ipo siku watakuja kwako kuomba kazi.
Amini
 
Back
Top Bottom