Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Oyaa,Familia Nawakumbusha Mambo ya Kuzingatia Kwa wewe Kijana Mwenye Malengo.
1)Kutumia Condom kwa kila Tendo ili kulinda Afya yako.
2)Kwenda kwa waganga ili kulinda na kukuza Uchumi wako ,na Kuweka zindiko katika mwili wako na Shughuli zako zisije kuharibiwa na Wachawi.
3)Kufanya Mazoezi ili kua na utimamu wa mwili ,Hii itakusaidia kua na pumzi wakati wa midinyano bila kusahau utakua na muonekano mzuri ,Muonekano wa nje ni Utamburisho namba moja wa jinsi ulivo. Sio unakua mnene ,tumbo hilo ka mjamzito badilika mzee.
4)Kua Mwaminifu kwa wanao kuamini, Umekopa pesa za watu rudisha,Umepewa kazi usichakachue Fanya kwa weledi, Dem amekuamini Anakupa kila kitu ww hutoi chochote Tulizaman mwanetu. Hizo bahati ni chache.
5)Usifanye Maisha Wilaya au mtaa Ulio zaliwa Ondoka kwenye hio comfort Zone,Mikoa na wilaya zipo nyingi sana, kuishi ulipo zaliwa ningumu sana kufanikiwa labda Uloge Sana,maana wazee wa mtaa hawawezi kukubali ww ufanikiwe huku watoto wao Hawana kazi ,machizi boti ,oyaa utaandamwa🤣.
6)Usitukane Serikali au viongozi wa kisiasa kwa sababu matusi yako hayato badirisha chochote Zaidi tu uta kumbana na Matatizo makubwa
Kimsingi ,Ule ni Mfumo Ambao ulitengenezwa na wakoloni weupe hivo Waliopo sasa wapo kufanya utekelezaji, na Mfumo haumtambui mtu wa chini ukisha lijua hilo huwezi kwenda kutukana kwenye page za viongozi.
Mtu wa chini Hatambuliwi na MFUMO hii weka kichwani Utapona hayo yanayo kuumiza kwamba kwann hivi kwa nini vile Utapona badala yake pambana upate pesa upate kazi huko juu kwenye mifumo na ww uenjoy na utacha makasiliko.89