raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Aliyepinda hapo ni sister ambaye inajulikana wazi kabisa nadhiri yao kwamba hawapaswi kujihusisha na hayo mamboIla duniani kuna watu wamepinda nyie! Kuna jamaa angu kipindi flan alikua anamla sister aliefunga nadhir kabisa...Dah.
Nani aliekwambia Masista au Mapadri hua hawazai? Doctor Silaa kipindi alikua Padri alizaa na Sista watoto wangapi? Watch outyou pass your genes ama DNA to the next generation
Wao pia wanapenda kupigwa miti nao Wana nyege km binadamu wengine na wanapigwa miti na wanazaa sema kwa Siri, mengine acha nisiropoke hapa we mdomo koma kuropoka utasomewa Salamu Maria 400 hapa hadi kichwa kibust, BuddhaAliyepinda hapo ni sister ambaye inajulikana wazi kabisa nadhiri yao kwamba hawapaswi kujihusisha na hayo mambo
Sio mapadrii tu masista wanazaa kwa Siri sio jambo la wazi Ila wanazaa na wanalea na wanakuza, usicheze na kitu kinaitwa nyege mkuu, nyege kitu kingineMapadri siku hizi wanazaa,huyo mzee mbinguni moja kwa moja,hakosi wajukuu wa michepuko ya mapadri wake
[emoji16][emoji16][emoji16]Wajukuu watakua makatekista
Ova