FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hujaiandika familia ya Mulla hapo, hiyo kiboko ya kilimo Tanzania, kuanzia mpunga, chai, kahawa, miti na madini.
Huyo akisimama Rostam hakai chini mpaka akae huyo kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaiandika familia ya Mulla hapo, hiyo kiboko ya kilimo Tanzania, kuanzia mpunga, chai, kahawa, miti na madini.
🤣🤣sasa mbna ujatuweka hapo ase nimeumia sana
niombe radhii
Ana asifun jiddan 🙏niombe radhii
Wapi Msoga Family!!!Hii imetayarishwa zamani lakini inaweza kutupa idea kidogo kuhusu familia tajiri Tanzania.
1. Schegg family
Patrick Schegg. Wana shares CRDB.
Utajiri wao $10.9 million
2. Shirima family.
Michael Shirima .
Precision Air.
$12.2 million.
3. Abdul family.
Naseeb Abdul Juma Isaac
Diamond Platinum
Wasafi bet ,Wasafi media,Wasafi records
12.6 million
4. Rajabali family
CRDB,Dar Stock Exchange,Plasco
Onali Rajabali na Sajaf Rajabali.
$16.1 million.
5. Chenge family
Offshore investment
$27 million.
6. Manek family
Yogesh Manek
MAC group, EXIM Bank
Heritage Insurance
Strategist---Health Maintenance Organization.
$22 million.
7.Abood family.
Abdulaziz Abood
Offshore investment
$ 24 million.
8.Zakaria family.
Murza Oil Limited
Abdul and the late Harun Zakaria.
$ 30 million
9 Patel family
BULK distributors limited
Vehicle maintenance and distribution.
Jay Patel
$46 million.
10. Abbas family
Gaming industry
Sport Pesa
Abbas Tarimba
$ 57 million.
11.Mbowe family
Freeman Mbowe
Offshore investments of Freeman.
$69 million
12 Rathod family.
Wim Plast Limited.
( Injection molded plastic furniture) including tables and chairs.
Gizal Rathod
$ 84 million
13. Turkey family
Late Salim Turkey, "Mr. White""
TURK group of companies.
Tufik CEO and Abdallah Executive Director
$93 million.
14. Somaiya family.
Shivacom
Tanel Somaiya
$97 million.
15. Lowassa family
Offshore investment
$120 mil.
16. Kanabar family
Synurge group of companies.
Recycling batteries, smelting and manufacturing lead, providing logistic support
Shear( ?) Kanabar
$390 million
17.Muhammad family
Ghalib Said Muhammad.
Late Ghalib Said Muhammad st.
International business
Cashew nut farming
China, Dubai, Tanzania,Rwanda,DRC,S. Africa.
$580 million.
18. Awadhi family
Ali Awadhi
Lake Oil
$480 million.
19. Patel family
MMI Steel Works and Naaza Road Works.
Late Mr Subash Patel
Motisun group.
Sea Cliff hotels and White Sands hotels.
$520 million.
20. Mengi family
IPP,Handeni Gold inc.
$560 million
21 Bakhresa family
Said Salim Bakhresa
Bakhresa Group
$ 600 million.
22. Aziz family
Rostam Aziz
Vodacom,Taifa Gad, Caspian Mining,MIC-Tanzaia-PLC( contract mining)
$ 900 million.
23.Manji family
Late Yusuf Manji
Quality Group of Companies,Auto industry.
$969 million.
24. Rashid family
Feda Hussein Rashid
Africarriers Group.
Used car market
$986 million.
25.Dewji family
Late Gulamabbas Dewji
Mohammed Dewji,Tanzania's wealthiest individual and sixth richest person in Africa.
METL Group.
$1.6 billion
Billionaire and philanthropist Mohammed Dewji
Mnatumia Lugha Gani....!?Wapi Bakhressa,Rostam,Mo
Shauri yako100%
Tafuta utajiri hutajutaShauri yako
Sawa kabisa mfano Africarriers wao waliimaliza Karakana ya Shirika la Bima pale Pugu Road.hakuna utajiri wa halali hapo,
utajiri ni siri.
hahaha utajiri hautafutwi, mbona huelewi.Tafuta utajiri hutajuta
Poahahaha utajiri hautafutwi, mbona huelewi.
Anakuwa tajiri wa kwanza hivi karibuniUtajiri wa Mark Zuckerberg ni dollar billion ngapi?
Unaamini wote tuliouliza hayo majina hatuoni au hatujui kusoma? Mambo mengine hayahitaji kutumia akili nyingi kung'amua jambo au makosa yaliyokuwepo awali!Mnatumia Lugha Gani....!?
Kweli umeshindwa kuona Majina unayouliza!?
Kweli binadamu tupo tofauti.
Hii orodha ni ya 2015.Orodha hii ni batili aisee. Diamond yupo Kusaga hayupo ? Kuna Wahindi wale wakina Patel hawapo eti Diamond yupo 😂😂😂
Lakini bado ni ya uongo Diamond kipindi hicho hata wasafi radio/TV alikuwa hajaianzisha alikuwa ni dalali wa Karanga za Kusaga na hata ile Chibu perfume ilikuwa ni ya Kusaga piaHii orodha ni ya 2015.
Masikini wa mali au?Kama huwezi kupima utajiri wako wewe ni masikini pro
Sema unamiliki Ka IST na nyumba chalinze.
Wewe sio tajiri ila masikini kiwangu cha kati au Masikini pro.
Huyo ni ndege wa anga za juu, sisi bado vimbweta havilocomoteAnakuwa tajiri wa kwanza hivi karibuniView attachment 3095535
Wengi wanaficha utajiri wao hawaanikiInatuchangamsha akili kweli kweli, inamaana kikwete & it's family hawapo hapo?,
Nimestudy hapo nimegundua, bila kubuni uzalishaji mali, na sio uchuuzi, huwi tajiri.
Pia naamini kuna matayikun wameachwa hapo!
Late inamanisha marehemu ?,kama hivyo kwa GSM na baba yake Mo inakuajeHii imetayarishwa zamani lakini inaweza kutupa idea kidogo kuhusu familia tajiri Tanzania.
1. Schegg family
Patrick Schegg. Wana shares CRDB.
Utajiri wao $10.9 million
2. Shirima family.
Michael Shirima .
Precision Air.
$12.2 million.
3. Abdul family.
Naseeb Abdul Juma Isaac
Diamond Platinum
Wasafi bet ,Wasafi media,Wasafi records
12.6 million
4. Rajabali family
CRDB,Dar Stock Exchange,Plasco
Onali Rajabali na Sajaf Rajabali.
$16.1 million.
5. Chenge family
Offshore investment
$27 million.
6. Manek family
Yogesh Manek
MAC group, EXIM Bank
Heritage Insurance
Strategist---Health Maintenance Organization.
$22 million.
7.Abood family.
Abdulaziz Abood
Offshore investment
$ 24 million.
8.Zakaria family.
Murza Oil Limited
Abdul and the late Harun Zakaria.
$ 30 million
9 Patel family
BULK distributors limited
Vehicle maintenance and distribution.
Jay Patel
$46 million.
10. Abbas family
Gaming industry
Sport Pesa
Abbas Tarimba
$ 57 million.
11.Mbowe family
Freeman Mbowe
Offshore investments of Freeman.
$69 million
12 Rathod family.
Wim Plast Limited.
( Injection molded plastic furniture) including tables and chairs.
Gizal Rathod
$ 84 million
13. Turkey family
Late Salim Turkey, "Mr. White""
TURK group of companies.
Tufik CEO and Abdallah Executive Director
$93 million.
14. Somaiya family.
Shivacom
Tanel Somaiya
$97 million.
15. Lowassa family
Offshore investment
$120 mil.
16. Kanabar family
Synurge group of companies.
Recycling batteries, smelting and manufacturing lead, providing logistic support
Shear( ?) Kanabar
$390 million
17.Muhammad family
Ghalib Said Muhammad.
Late Ghalib Said Muhammad st.
International business
Cashew nut farming
China, Dubai, Tanzania,Rwanda,DRC,S. Africa.
$580 million.
18. Awadhi family
Ali Awadhi
Lake Oil
$480 million.
19. Patel family
MMI Steel Works and Naaza Road Works.
Late Mr Subash Patel
Motisun group.
Sea Cliff hotels and White Sands hotels.
$520 million.
20. Mengi family
IPP,Handeni Gold inc.
$560 million
21 Bakhresa family
Said Salim Bakhresa
Bakhresa Group
$ 600 million.
22. Aziz family
Rostam Aziz
Vodacom,Taifa Gad, Caspian Mining,MIC-Tanzaia-PLC( contract mining)
$ 900 million.
23.Manji family
Late Yusuf Manji
Quality Group of Companies,Auto industry.
$969 million.
24. Rashid family
Feda Hussein Rashid
Africarriers Group.
Used car market
$986 million.
25.Dewji family
Late Gulamabbas Dewji
Mohammed Dewji,Tanzania's wealthiest individual and sixth richest person in Africa.
METL Group.
$1.6 billion
Billionaire and philanthropist Mohammed Dewji.