Familia tajiri Tanzania

Wapi Msoga Family!!!
 
Mnatumia Lugha Gani....!?
Kweli umeshindwa kuona Majina unayouliza!?
Kweli binadamu tupo tofauti.
Unaamini wote tuliouliza hayo majina hatuoni au hatujui kusoma? Mambo mengine hayahitaji kutumia akili nyingi kung'amua jambo au makosa yaliyokuwepo awali!
 
Kama huwezi kupima utajiri wako wewe ni masikini pro

Sema unamiliki Ka IST na nyumba chalinze.


Wewe sio tajiri ila masikini kiwangu cha kati au Masikini pro.
Masikini wa mali au?

Mimi nakula, navaa, nafanya kazi, nalala vizuri. Umaarufu sina. Naamini katika kazi na kula. Umaskini unatoka wapi
 
Late inamanisha marehemu ?,kama hivyo kwa GSM na baba yake Mo inakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…