Familia Tajiri ya kihindi yenye ukwasi wa Trilioni 100+ yahukumiwa Jela kwa kuwanyanyasa wafanyakazi wa ndani na kuwalipa malipo kiduchu

Hao watu poa sio Wahindi... Huwajui wahindi we mtoto. Ulifananisha kimuonekano ukadhania ni muhindi. Tulia!
Nimekuwa karibu na Waarabu na Wahindi. Baadhi wana ubaguzi japo wanajitahidi kuuficha na baadhi wako poa sana na wana upendo pia. Nilipataga homa kipindi nasoma mkuu wa shule akaja kuniona nyumbani kabisa na zawadi za mgonjwa.

Baadhi yetu mfano mleta mada kakutana na maswaibu hayo kipindi anafanya nao kazi, ni kweli yanatokea hata huku nakoishi nayaona pia. Najaribu kuongelea upande wangu.

Hadi leo hii nina marafiki Waarabu na Wahindi pia, naheshimu tamaduni zao na mimi nawahimiza waheshimu zangu pia. Huwa sipendi kupandwa kichwani asee. Nimeshawahi timua baadhi ofisini kwangu kama masihara.

Pole kwa waliowahi kuwakuta ingekua mimi hali ingeweza kuwa mbaya kwa pande zote mbili nina hasira sana nikidharauliwa au kubaguliwa. Naomba Mungu aniponye hii hali.

Fanya yote hata kama una pesa ila linda heshima yako.

Ila siamini kama ameleta huu uzi kwajili ya kutaja mabaya yao tu, hapana.
Kuna kitu nilijifunza kwenye maisha, unapopita mahali ukakuta mtu unayemjua anasemwa kwa mabaya jitahidi uwaambie hata jema lake moja tu utabarikiwa pia.
 
Hapa duniani we ye roho nzuri na ustaarabu ni wazungu na wajapan.

Waafrika wamekariri dini lakini roho zao nyeusi kama ngozi zao. Kwanza ata peponi wataenda kuharibu tuu. Waafrica na wahindi wote peleka motoni tuu
Wazungu?
Wazungu wanajua kupretend wanatupenda ila ni nyoka mbaya
 
Wazungu?
Wazungu wanajua kupretend wanatupenda ila ni nyoka mbaya
Uzuri wa wazungu kweli wanaubaguzi but atleast wao wanabagua race tofauti na wao. Sasa sie wapuuzi tunabaguana wenyewe kwa wenyewe....yaani furaha ya mwafrica au muhimdi mwara u aone mwenzie anateseka
 
Uzuri wa wazungu kweli wanaubaguzi but atleast wao wanabagua race tofauti na wao. Sasa sie wapuuzi tunabaguana wenyewe kwa wenyewe....yaani furaha ya mwafrica au muhimdi mwara u aone mwenzie anateseka
Sasa bora tena mwafrica kwa mwafrica kuna so called Black Americans hawa ni mafi kabisa
 
Kuna jamaa yangu alifanya nao kazi ananisimulia Wahindi wana hesabu kali mpaka kwenye msosi,eti dengu gunia tatu wanatoboa mwaka.Kazi kuongeza pilipili tu kwenye msosi upate hamu ya kula.Leo bagia za dengu kesho cheulo za dengu.Nimesimuliwa tu .
 
Kuna jamaa yangu alifanya nao kazi ananisimulia Wahindi wana hesabu kali mpaka kwenye msosi,eti dengu gunia tatu wanatoboa mwaka.Kazi kuongeza pilipili tu kwenye msosi upate hamu ya kula.Leo bagia za dengu kesho cheulo za dengu.Nimesimuliwa tu .
[emoji3][emoji3]
 
Ila wahindi na waarabu👐
 
Muuza madafu wa Ikulu kahamia kwa mandonga. Wote wawili watu kazi 😅

Indian are too aggressive. MbYa zaidi wengine wanaaminiwa kwa kupewa mavitengo makubwa makubwa yakiwemo GM. Ushwah kuona GM anamfukuza hadi mwanafunzi aliyekuja field 😁
 
Hawa ni maumbwa kabisa!!
 
Ukitaka kujua hao jamaa ni katili ,tafuta mtu aliyewaibia halafu akashikwa ni hatari sana ..Wahindi ni wabahili hauna dunia hii .

Ukiajiriwa kwao wakianza kukusifu unajua basi jiandae kweny kufanya kazi tofauti mtu mmoja , unaweza kujikuta wewe ndio sekretari na afisa wa ugavi wakati mmoja.
 
Ukitaka fanikiwa kuwa bahili+kauzu

Ova
 
Wahindi mbona poa sana

Kila mwanadam na race yoyote wapo watu makatili

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…