Hahaha nimecheka kwa sauti kubwa sanaWe mbuzi
We mbusi ume funguliwa Toka ban๐๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha nimecheka kwa sauti kubwa sanaWe mbuzi
We mbusi ume funguliwa Toka ban๐๐๐๐๐๐
We mbusi ume funguliwa Toka banMimi naona wako sahihi kwasababu nigger ukimwendekeza na kumchekea anakurukia hadi mabegani. Unakumbuka wakati wa mkwere watu wa ajabu ajabu walikuwa wanaingia ikulu. Jiwe alivyoingia kukawa na nidhamu. Upole wa mama sasa hivi hadi wauza madafu. Nigger ni fimbo tu na amri ndo nidhamu inakuwepo.
Muuza madafu wa Ikulu
๐๐๐Hahaha nimecheka kwa sauti kubwa sana
Watu tunapokutana kwenye mikusanyiko eg: kanisani, harusini, misabani nk nk, walivyo na bashasha na uchangamfu mwingi waweza kudhani ni watu wema sana na wastaarabu, kumbe wengi wana roho mbaya sana linapokuja suala la kutreat mtu baki.Tanzania beki tatu hukipwa
40,000, kazi masaa 19, matusi ya kuja umekonda Leo umenenepa, kulazwa sebuleni na kuitwa majina ya ajabu kama beki tatu, Binti, dada, nk bila kusahau kuliwa na faza hausi na vijana wake.
Msako ukiputa bongo wote mnaishia segerea, keko na butimba.
Nawajua hawa. Nikikuwa manager wao nafanya kazi US wao wako India.Yes na yule maskini anaona anastahili kubwa maskini na kumtumikia huyo wa juu without any complaints... Wanawaita sidra sijui kama sikosei
Hakuna aliyejuu ya sheria haya yapo Africa tu jele ni kwa ajili ya watu masikiniMzungu mzungu tu aisee, wale jamaa kwenye mambo ya haki wako mbali.
Unawajua wa Hindi wwwatu wema na wabaya wako hawakosi kila jamii. akiwa mwema onyesha uungwana, akiwa mshenzi muonyeshe ukenge.
DaahUnaenda mbali huko,hapa Bongi Mo Dewjo mwenyewe anawasafirisha wahindi wengi tu tena bila vibali anawaleta kufanya kazi kwenye kampuni zake kwa ujira kidogo.
au ni prof shvjiOmba utoke salama wasikuloge,ni wachawi sana,anaweza akakutoa kafara.
Ni mhindi mmoja namjua ana roho nzuri sana ni lecture yupo kama mzungu tu.
Inaelekea u bate them with passion kabisa. Pole kwa waliyokutendeaUnawajua wa Hindi ww
Hakuna mhindi,mwarabu au mchina mwenye roho hii. Watanzania hatusafiri na hatujui dunia ilivyo .Wahindi, waarabu na wachina wanaishi kimatabaka. Wao kwa wao wanabaguana je wewe watakupa nafasi ? Mzungu atabaki kuwa mzungu tu. Wazungu wanaweka ubinadamu kwanza. Mambo mengine baadae.Kuna wahindi wana roho nzuri kupita maelezo.Huwezi kusema ni wote.Huku kwetu Kuna mhindi ana utaratibu wake Kila baada ya miaka miwili anapita vijijini kutafuta vijana akawape maarifa ya mechanics katika gereji yake.Na kila group ya vijana wanaohitimu wanakuwa mafundi haswa walioiva na wanatoboa maisha kwa ufundi waliopata kwa mhindi upo weye?
Mambo ya upinde ๐ณ๏ธโ๐.bikira latifah, mh, hizi ID, halafu unakuta huyu ni mwanaume!
Hao watu poa sio Wahindi... Huwajui wahindi we mtoto. Ulifananisha kimuonekano ukadhania ni muhindi. Tulia!Yeah Wahindi wengi wanazingu ila baadhi ni wayu poa sana akiwepo mkuu wa shule. Nakukumbuka sana Sister kwa upendo wako popote ulipo Mungu azidi kukubariki.
Ata kwenye malipo mzungu hana longolongo...njoo kwenye hizi kabila zingine ni kunyonyana tuu ili mradi aone unatesekaHakuna mshindi,mwarabu au mchina mwenye roho hii. Watanzania hatusafiri na hatujui dunia ilivyo .Wahindi, waarabu na wachina anaishi kimatabaka. Wao kwa wao wanabaguana je wewe watakula nafasi ? Mzungu atabaki kuwa mzungu tu. Wazungu wanaweka ubinidamau kwanza. Mambo mengine baadae.
Nilijaribu kuliongelea hili huku lakini watu hawaelewi. Hawajui kwanini Dewji amekimbia Gujirati na kuja huku Tanzania. Hawajui kwa nini baadhi ya wahindi waislamu wa Gujirati wanabaguliwa ? Huku nilipo wahindi, waarabu na wachina wana na group ya WhatsApp tofauti japo wametoka nchi moja. Ukikutana na mwarabu wa Saudia Arabia ukamwambia rafiki yako aliyetoka Saudi Arabia atakuuliza jina ? Ukimjibu atakwambia usimpe namba yake. Ukihoji anakwambia hayupo level sawa na yeye. Kuna wahindi wanatoka South Afrika, Botswana, Zimbabwe na Zambia wanasomeshwa huku Ulaya na wamenunuliwa hadi magari na wazazi wao. Wahindi wanaotoka India wanashangaa. Kuna wahindi kibao wakimaliza masomo wanataka kuja Afrika maana wanaona wenzao waliotoka Afrika wana hela kuliko wao waliotoka India.Wahindi wale wanafundishwa kwenye dini yao kwamba mtu masikini kazaliwa masikini iki amtumikie tajiri.
Kwamba tajiri ana haki ya kumtumikisha masikini kwa sababu masikini kazaliwa awe masikini tu.
Caste system. Wa chini atakuwa chini daima na wa juu atakuwa juu daima.
Ni suala la kiutamaduni na kidini.
Na wale jamaa wa kule Arabuni wangekua wanashughulikia hizi kesi kama hivi hizi mambo zingekoma.
Ukweli unaouma. Safi kijana! Mchango mzuri sana!Tanzania beki tatu hukipwa
40,000, kazi masaa 19, matusi ya kuja umekonda Leo umenenepa, kulazwa sebuleni na kuitwa majina ya ajabu kama beki tatu, Binti, dada, nk bila kusahau kuliwa na faza hausi na vijana wake.
Msako ukiputa bongo wote mnaishia segerea, keko na butimba.
Dubai kazi moja Mwafrika, mhindi, mchina na mzungu mnalipwa tofauti nimeshuhudia kwa macho yangu Safirii ujionee.kama nilivyoanisha hapo juu mshahara unapanda kwa tabaka.Uarabuni hakuna hizo kesi. Ni siasa na vita baridi ya udini, huna unachoelewa wala kujua. Kwanza wale ni matajiri na Wasomali, Waarab na Wazungu kwenye malipo hawanaga dhulma.
Labda manyanyaso ya kingono. Na haya yapo all over the world!
Sio rahisi... Labda wale malaya wa sea-cliff na postal wanaojiuza kwa siri sana!Dawa yao ni kuwagongea tu madada zao