Familia ya Diamond ilivyotawala entertainment industry ya bongo

Kuna nyimbo inataka kutolewa hapa wanavutwa watu ili ngoma ikitoka Views zitembee chap chap

Et huyu mzee ndo Baba yake halisi Diamond

Anaitwa mzee Nyange. Dram zakitoto kabisa hizi


 
Mmhh, sidhani kama ni drama, huyu mzee ni dhahir kasuswa, anaoneka ana dhiki mpaka #%$@!!! Afanye drama apate nini ilhali hali yake taaban hapo maskini ya mungu.
Mzee ana'enjoy maisha amini usiamini ndo maana anaendelea kushiriki hizi issue mara unaona yupo kwenyee interview mara unamuona kaenda Wasafi Media kwenye interview hili la Diamond waliliandaa muda namzee wake hapa ndipo anapo pray-part yake ili aendelee kupata matunzo kutoka kwa Diamond




 
Mmhh, sidhani kama ni drama, huyu mzee ni dhahir kasuswa, anaoneka ana dhiki mpaka #%$@!!! Afanye drama apate nini ilhali hali yake taaban hapo maskini ya mungu.
Hilo bwana Kila mtu aamin kwa upand wake maaan mi naon kwel ni maigizo
 
Diamond Platnumz hahitaji KIKI kutoa wimbo, hii haiwezi kuwa wimbo tu.
 
Mjomba na wewe umepoteza bundle kupost ujue,,,, ha ha ha haaaa
 
Mpumbavu wewe nenda magomeni mikumi umuone mzee alivyochoka.


Jinga kabisa wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…