Whackiest
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 1,109
- 1,319
Tukiacha kuview hizo video zao wataacha tuu mbnnhakika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiacha kuview hizo video zao wataacha tuu mbnnhakika
hawa Wasafi ni-balaa wanajua kucheza na akili za watu Ukiingia Instagram YouTube wana-treand waoTukiacha kuview hizo video zao wataacha tuu mbnn
Wameona wamefungiwa tv yao wakao www hatuwez kosa mapato wamekuja na baba yake na mam ake wapat mapatohawa Wasafi ni-balaa wanajua kucheza na akili za watu Ukiingia Instagram YouTube wana-treand wao
[emoji23][emoji23][emoji23] mzee alifikia Stage mbaya kwenye ile interview hadi ikifikia hatua wanajaribu kutia Tuned ili watu wasielewendo hadi story za kondomu kupasuka na kukaa kwenye papuchi siku tatu zitokee,mama kugongwa na mpemba muuza duka?kupewa talaka,diamond kufukuzwa kwenye pilau na baba yake alipoenda kudoea?nyie jameni ,hawa ni familia ya hovyo iliyobahatika kuwa na hela
Kinachoendelea kinatoa mtizamo wakusikitisha kwenye hii familia.Wameona wamefungiwa tv yao wakao www hatuwez kosa mapato wamekuja na baba yake na mam ake wapat mapato
hali ni tete zimetoka siri nyingi mnooo, hiyolivestream ya mama dangote hadi leo ilisikizwa na kuangaliwa na watu 110,000 tu yaani ndo pesa walizoamua kujizalilisha nazo? mama alikaa na condom siku tatu kwenye papuchi,mama alikuwa mdangaji,esma ni mtoto wa dada yake na mama diamond,alivyopewa talaka esma akaenda kujiuza tandika, huwa anajikojolea kitandani[emoji23][emoji23][emoji23] mzee alifikia Stage mbaya kwenye ile interview hadi ikifikia hatua wanajaribu kutia Tuned ili watu wasielewe
Kila kona ni habr zao wanatak umaaruf mbn hao ww komaa na yako mkuuKinachoendelea kinatoa mtizamo wakusikitisha kwenye hii familia.
Wamejaaliwa Nyota ya Umaarufu wanataka kuutumia vibaya
uzuri keshawaambia waache kutumia jina lake lasivyo atawashtaki na ushahidi anao kama huu hapa akipata lawyer mzuri atambabua mamilioni ya helaMimi ningekuwa Baba daimondi ningeweka bei elekezi ya kuhojiwa. Kila dakika ni laki mbili. Tena nakuwa na stopwatch yangu kabisa na lazima unilipe hela yote kwenye benki kabla ya intavyuu.