Familia ya Dkt. Rwakatare mtafuteni Mshana Jr wa JamiiForums haraka, ni ushauri wa bure!

Huyu diwani soon atakuwa msukule. Kupotea sio sifa ya mwanaume.
Mshana Jr hebu kaa kwa kutulia,usijihangaishe na mtu anayeupenda u msukule
 
Lakini Mshana Jr uyo dogo si ni ndugu yako, wote wazazi wenu wa kule kanyigo/ katerero...msaidie tu.
 

Madawa ya kulevya ni shida sana!
Huyu ni wa sober house tu walahi!
Na maombi kama yote way
Maskini jamani [emoji22]
 
Kwan huyu ndo yule wa kupotelea kule kwa Ashura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…