Familia ya Dkt. Rwakatare mtafuteni Mshana Jr wa JamiiForums haraka, ni ushauri wa bure!

Familia ya Dkt. Rwakatare mtafuteni Mshana Jr wa JamiiForums haraka, ni ushauri wa bure!

Enyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi.

Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai?

Mi nasema mtafuteni mshana mganga wetu sisi Wana JF atawasaidia.
Huyu diwani soon atakuwa msukule. Kupotea sio sifa ya mwanaume.
Mshana Jr hebu kaa kwa kutulia,usijihangaishe na mtu anayeupenda u msukule
 
Haya ndio maneno sasa shem.
giphy.gif
 
Lakini Mshana Jr uyo dogo si ni ndugu yako, wote wazazi wenu wa kule kanyigo/ katerero...msaidie tu.
 
Kwa ushirikina hatujambo!
I think he's having an existential crisis if not a midlife crisis! Tatizo ni maarufu hana private life, he cannot "disappear" in peace. Everyone needs to "disappear" sometimes. Huko nyumbani anapopakimbia napo ndo tatizo lilipo! Ishi ukweli wako uwe na amani!

Madawa ya kulevya ni shida sana!
Huyu ni wa sober house tu walahi!
Na maombi kama yote way
Maskini jamani [emoji22]
 
Kwan huyu ndo yule wa kupotelea kule kwa Ashura?
 
Back
Top Bottom