Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
[emoji23] wanatak urudi kilingeniAah wapi niliwapukutisha wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] wanatak urudi kilingeniAah wapi niliwapukutisha wote
Kule sirudi tena naweza kuwehuka[emoji23] wanatak urudi kilingeni
Huo ndio ukweli mtaniAtakuwa anasumbuliwa na mizimu ya mama yake.
Mama alikufa ghafla bila kuondoa madude yake.
kwamba..Multiple ID's raha sana.
😀 😀 😀 😀
Haters r very stupid creatures
We mzee mchawi sana [emoji16]Aah wapi niliwapukutisha wote
Nimeacha siku hiziWe mzee mchawi sana [emoji16]
Hapo safi.Nimeacha siku hizi
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwani kapotea tena?
Kwa ushirikina hatujambo!
I think he's having an existential crisis if not a midlife crisis! Tatizo ni maarufu hana private life, he cannot "disappear" in peace. Everyone needs to "disappear" sometimes. Huko nyumbani anapopakimbia napo ndo tatizo lilipo! Ishi ukweli wako uwe na amani!
Mtoto akizaliwa na autism, ni katolewa kafara wazazi wawe matajari. Viungo vya albino vinasaidia kupata utajiri. Mtu akipata severe depression hadi akapata psychosis ni karogwa. Asili yetu idumu ✊✊.Ushirikina ni asili yetu
Hayo mengine yameletwa na waarabu na wamissionary
Kwani ni yeye pekee maarufu?[emoji848]Kwa ushirikina hatujambo!
I think he's having an existential crisis if not a midlife crisis! Tatizo ni maarufu hana private life, he cannot "disappear" in peace. Everyone needs to "disappear" sometimes. Huko nyumbani anapopakimbia napo ndo tatizo lilipo! Ishi ukweli wako uwe na amani!
Nope.Kwani ni yeye pekee maarufu?[emoji848]
Dah Ana kunywa pombe haswa kulala bar na kuamkia hapo hapo kawaidaUnajua kila utajiri au umaarufu una masharti yake hasa kama umevipata kwa njia za giza! Sasa huyu anateswa na madhabahu ambazo hakuzisimika yeye
Kesi yake ni tofauti kwakuwa last time 'alipotea' kwa muda mrefu na this time imetokea hivyo tena!Nope.
Kwani ni yeye pekee huwa harudi kulala nyumbani kwa mke na watoto wake?
Na hapo ndipo penye kiini cha tatizo...Dah Ana kunywa pombe haswa kulala bar na kuamkia hapo hapo kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app