Familia ya Godbless Lema ni familia bora ya wanasiasa kwa mwaka 2023

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Umoja uliopo miongoni mwa Lema, mke wake na watoto ni wakuigwa. Wamelelewa kiimani, wanaishi kwa haki na awajawahi kuacha kutafuta kesho iliyo bora kwao na kwa wengine.

Ni familia bora kwa mwaka 2023 ambayo wanasiasa wengi wenye madaraka itawachukua miaka kadhaa kuishi maisha ya hawa watu. Wana amani ya moyo ,wana upendo na wanashirikiana.

Most of families za viongozi wa kisiasa hasa ambao wana madaraka zimefichwa na hakuna siku utawaona wapo pamoja. Wapo busy hadi wanashindwa kufahamu wanatafuta kwa ajili ya familia kwanza

Niwapongeze Sana Lema kwa kuwaonyesha viongozi vijana umuhimu wakujenga familia inayocheka na kulia pamoja. God bless you my young brother......ashukuriwe Mungu kwakukupa Mke wa viwango hivyo. Ashukuriwe Mungu kwa kukupa vijana wanaoweza kuiongoza kwa haki nchi yetu tutakapokuwa tumeastaafu.
 
Huwa vigezo gani mnatumia kupata huo ubora?!
 
Muwe mnajitahidi kuweka na picha sasa tuwaone.
 
Miaka kama 10 iliyopita nikiandika humu jukwani kuwa LEMA atashindwa uchaguzi na ategeuza kibali na atajenga Kanisa lake na atajibatiza kuwa NABII. Naona SASA Hugo utabiri wangu unakaribia kukamilika.

Naona tumeshaanza kuwaona wapambaji wake wakija na kila Aina za sifa za kutengenezwa, ukichanganya na utabiri wake wafulani atakufa, Mbona hiyo ni kawaida binadamu na yoyote aliyezaliwa atakufa, hiyo ndivyo vilivyo.

Africa kazi ya unabii WA kilaghai inalipa Sana, mtu unapo watawala wajinga wengi kwa makundi basi hapo ushawekeza pipe ya Kula daima, na wanashawishika kwa lolote.

Mfano kule Malindi Kenya, akina Gwajina na Mwingira
 
Hata wewe ni MTU ambaye unastahili ban kwa kuandika nadharia za uongo.
 
Wewe unasifia kitu gani? Hawa wameamua kuhama nchi wako canada wakijali maendeleo binafsi? Wamekimbia nchi kwa kisingizio cha uongo eti maisha yao yako hatarini. Sema kama unawasifia kwa kujali maslahi binafsi mbele ya chochote hapo nitakuunga mkono. Lakini sio uzalendo maana tayari watakua washaomba uraia wa canada.
 
Upuuzi
 
Mbarikiwa ni Mbarikiwa tu.
 
Nimke walema ndokasema haya yote? Kama ndoivyo basi aendelee kupiga goti kuombea familia yake...
kama sio basi inatia shaka sana mtubaki kuongeza vitu deep vyamwanaume sowako!!!
 
Siasa inalipa nyie jiajirini
 
Mi naamini familia yangu ndo bora kabisa!
 
Hongera kwake

Kumbe walisharudi nchini
 
Mbona hata na qewe ni nabii ulitabiri lema kuwa nabii na akawa. Wewe unasubiri nini sasa kuanzisha na kufungua kanisa? Ujiite nabii kidami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…