Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

Kuna siku niliwaambia washikaji zangu kiwa nataka kuingia kwenye siasa,wakaniambia kuwa kwa tabia zangu Mimi nizaidi ya Magufuli-kuwa watu watakoma.
May be I could be the next JPM
 
Mafala kibao walitembezwa na Rais Magufuli, wengine kwa magoti, wengine kwa matako, wengine wakiwa na nguo, wengine wakiwa uchi, wengine kwa siri, wengine hadharani kama yule bonge nyanya wa mtama anaejiona mjanja sahizi. Wacheke, walie, waungane potelea mbali ilimradi tu ushelisheli waliuona. Hakuwa Rais wa kurembulia macho na kuchekea mabedui hata kidogo. JPM hakua Rais wa kawaida, kwa tafsiri yoyote utakayoamua kuibeba wewe ndugu msomaji.
 
Kuna siku niliwaambia washikaji zangu kiwa nataka kuingia kwenye siasa,wakaniambia kuwa kwa tabia zangu Mimi nizaidi ya Magufuli-kuwa watu watakoma.
May be I could be the next JPM
Kwahiyo unatabia za kingese kama maguu
 
Katika dini tunaamini hakuna aliyemkamilifu ila ni Allah pekeyake.......huyo JPM sio kila mtu anamuona shujaa na sio kila mtu atamuona mbaya bali inategemea ulitendwaje na utawala wake mfano huku kusini asilimia kubwa tunamuona alikuwa ni mtu wa hovyo na mpenda sifa na kuabudiwa,,mfano kauli yake ya kipumbavu ya eti watapigwa mpaka mashangazi hii ilikuwa ni kauli ya kipumbavu kutoka kwa mtu mpumbavu kwasababu kwahadhi ya watu wakusini sio wakutukanwa na mtu ambae hatuna uhakika kama alikatwa govi au lah hakika ilikuwa ni dhihaka sana na alilipwa kwa kupigwa ule moshi mkoa wa lindi na fasta akakimbizwa dar
 
Sijui tufanyaje watu waelewe acha kuua aliagiza watanzania walawitiwe.wafilisiwe .kuua kama kote .walikuwa wanakufata unaambiwa tunamaongezi kwenye gari ulikaa inapita kamba shingoni unanyongwa hadi kufa.kinyesi kinamwagika
Oooh mungu wangu... Hivi haya kweli yalifanyika au tetesi/uzushi? Yaani unakwenda kwenye gari then kamba shingoni kwa nyuma mpaka unakunya kabisa na kufa?!
 
Sijui tufanyaje watu waelewe acha kuua aliagiza watanzania walawitiwe.wafilisiwe .kuua kama kote .walikuwa wanakufata unaambiwa tunamaongezi kwenye gari ulikaa inapita kamba shingoni unanyongwa hadi kufa.kinyesi kinamwagika
Siku yangu imeharibika sana kwa ujumbe huu. Je, hao waliokuwa wakinyongwa nao hawakuwa wakiua wenzao?!
 
Kumbe ni mtu wa kusini wakina "n'jomba nchumali nchomoa n'jambe" hamnaga akili, ushirikina na umalaya + kucheza ngoma ndo vitu mnawazaga kichwani... mikoa inayoshikaga namba nzuri kwenye takwimu za ukimwi na na vitu vingine tele vya hovyo... Okay! Nilikuwa sijui namjibu kilaza wa aina gani.. bora umejiweka wazi tumekujua na ulivyo huna akili eti unajisifu mumempiga Rais na moshi... HOPELESS! masikini wewe!

Nakushauri fanya mambo ya msingi sio kukaa unazungumza vibaya viongozi hapa... wale sio level zako! Na wewe ungepambana maishani ufike level zao... kipindi wenzako wanahangaika kutafuta kesho safi isiyo na makandokando na majuto, wewe ulikuwa unacheza ngoma na kurogana tu leo unatupa lawama kwa viongozi na kutetea waarab wa kuchovya kisa wanakutiaga madole na kukupa elfu mbili mbili za nauli... HOPELESS!
 
Pole sana! Hujielewi mzeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ umedata wewe
 
Sawa walipiga magoti sisi tufanyeje sasa?
Nyie Nunueni Mafuta Elfu 3500 kwa Lita... Mchele kilo 3000.. Umeme Watarudisha Wanakavyotaka maana Magenerator hayajaisha Bado Stoo.. Mafuta Kwenye Shelli zao bado yapo mengi
 
Pole sana! Hujielewi mzeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ umedata wewe
Mimi najielewa
Unaona ulivyo mjinga kichwani tangu lini mikoa ya pwani ikaongoza kwa ukimwi wakati huku zinaa ni dhambi kiasi kwamba watoto wa zinaa kama ninyi huku ni adimu? Sisi tumeenda shule na tumestaarabika mno,,,huku hauwezi kukuta mauaji sijui ya vikongwe au albino kamwe hauwezi kukuta hivyo kwasababu sisi ni waungwana mno .......kusini kuna kila kitu na kila uungwana upo huku ila najua mtu asipotahiriwa hawi na akili kichwani wewe endelea kubaki na govi hilo
 

Huyu mfanyabiashara alituma na mabeberu? Waliofanyiwa hivi ni maelfu waliokimya
Yaani ulichojaribu kunionesha hapa hakijajibu swali langu bado... nilikuwa nahitaji kujua "hao waliokuwa wakitumwa na marehemu JPM kufanya huo upokonyaji ni kina nani?!... Migambo, Askari polisi, suma JKT, polisi Jamii au kina nani?!" Maana kwenye maelezo naona anayehadithia anasema ni Ole sabaya akiwa na vijana wake... Okay! Hao vijana ni kina nani?!


Kuna kitu nafkiri kinawadanganya na ndo hicho mnachokidhania. Hao mnaowadhania kwamba ndo walikuwa wakitumwa kuua watu na kunyonga sio watu wajinga wajinga wala wa mchezo mchezo na kukurupuka. Ni brilliant mno! Na hawana njaa kama mnavyodhani. Huyo Sabaya ni mpumbavu tu na njaa zake na vijana wake hao sijui vibaka atajijua mwenyewe... hao mnaodhani wala sio na hawana ujinga na njaa hiyo na hawashughuliki na issue za namna hiyo. Wanashughulika na mambo sensitive ya nchi na yanayohusiana na nchi ndani na nje.
 
Kumbe baada ya kupigwa Moshi aliahirisha na kwenda Dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…