Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

Tafuta hela acha wivu na hela za wanaume wanaopambana kuzisaka.

Watanzania wengi raha yao ni kuona matajiri wanafilisika ndo faraja yao.

Watu wanapambana kusaka noti wewe umekalia tu gsm wanyonyaji utadhani una hata chembe ya ushahidi.
 
Acha ufala wewe! Nina elimu ya kumzidi huyo CAG wenu huko chooni kwenu Bongo... Na wewe nikuulize unaijua siasa wewe?!

Hiadhi maneno na ripoti zake CAG wa sasa na msikilize tena Rais wenu huyo akishakufa au akistaafu utaelewa.
Wewe username yako tu inaakisi unachokizungumza hapa.

Uhohehahe wako ndiyo unakufanya uwe na hasira na makasiriko dhidi ya matajiri halali waliotafuta pesa kwa jasho.

Hao gsm ni wafanyabiashara wa zamani sana tena kwenye mazao wakati wewe unazurura na msuli wako kupiga umbea kwenye vijiwe vya gong. o.
 
Acha ufala wewe! Nina elimu ya kumzidi huyo CAG wenu huko chooni kwenu Bongo... Na wewe nikuulize unaijua siasa wewe?!

Hiadhi maneno na ripoti zake CAG wa sasa na msikilize tena Rais wenu huyo akishakufa au akistaafu utaelewa.
Hohehahe kwa vyovyote vile lazima amchukie tajiri akiamini kufanya hivyo ndo faraja yake.
 
Sio gongo tu na pingu 😊👍🏾
Eti matajiri wa halali... pole sana! 🤣
 
Picha ya Nape ilipigwa humo humo unaposema hawawezi kupiga picha ya gsm akitembelea magoti.

Halafu hayo matusi unayowatukana watu unadhani yatakukwamua na umasikini ulionao?

Ukipigwa ban utalalamika mods waonevu?
I don't fuckn' care! Bout' a ban yo Dickhead! Huna unachoelewa wanaopiga ban wanasoma na wanaelewa nini najaribu kutetea na kupigania... mimi sio mtumwa we msenge! Naelewa
Nimeishi na watu weupe wa sampuli tofauti katika ukuaji wangu ni washenzi tu! Eti nachukia matajiri kisa mimi Masikini... we Punga wewe si bure! Unamjua Tajiri aliepata kwa halali huko Tanzania?! Usiwe msengemsenge kukurupuka kutetea kwa interest binafsi... 🖕🏾
 
Katika huu ukali wako w maneno ni kama kuna hoja ya msingi sana imewasilishwa, juu ya uhalali na usafi wa mali za matajiri wengi wa TZ.
 
Maisha magumu yanakusumbua dogo hali iliyopelekea uathirike saikolojia yako unajikuta unatukanatukana badala ya kujenga hoja......kweli umaskini ni kitu kibaya
 
HII ni duniani kote walipa kodi ni maskini na matajiri ndio wanaotengeneza sheria
 
Haya ni maneno wanayokaririshwa watu ili wamchukie JPM, yule jamaa asingekufa hii nchi ingeendelea sana kiuchumi....now hamna namna, tuendelee tu kuongozwa na mifisadi.
Nchi ingeendelea vipi wakati kila kitu kilikuwa kinaporomoka?

Uchumi kwa ujumla ulikuwa unaporomoka kwa kasi ya ajabu. Na hali hiyo mbaya ndiyo iliyomchochea kuanza kupora pesa za watu binafsi.

Ukuaji wa uwekezaji alikuwa ameuporomosha toka 28% mpaka 4%. Utalii alikuwa ameuporomosha toka 15% mpaka 3.6%. Thamani ya mauzo ya mazao ya kilimo aliporomosha kwa 50%. Unemployment ilikuwa inaoongezeka kwa kasi ya ajabu.

Halafu unasema eti nchi ingeebdelea, kuelekea wapi? Shimoni?
 
Nchi hii mafisadi wapo kila awamu,ukisoma ripoti ya CAG utashangaa sana ilikuwaje wakathubutu kupiga hela mbele ya JPM,tena walipiga aswaa
Wakati wa JPM, siyo tu watu walipiga, na yeye mwebyewe na watu wake wa karibu, walipiga kwa kiwango cha ajabu.
 
🤔🤔🤔
 
Isha chuja hiyo 1.5T inayo hit sasa ni tozo maji na umeme kukatika kama kiuno cha mmakonde mwenye shanga.
Watu wajinga wajinga kama ninyi ndio mlikuwa mtaji wa dikteta Magufuli. Aliwapenda sana watu wasio na akili ambao angeweza kuwamezesha kila atakacho. Uchumi unadondoka, anawaambia kuwa sasa hivi tupo vizuri, bila kuhoji, mnashangilia.

Hakuna mwenye akili timamu ambaye ataleta habari za shanga na viuno, watu wanapojadili mambo ya maana. Inaonekana wewe ni low mind, akili yako imeishia huko kwenye shanga. Jukwaa hili siyo mahali pako. Hapa ni kwaajili ya watu wenye akili, wanaoweza kutoa hoja siyo vioja.
 
Niliposoma hiki kistatement nikajua hizi ni story za vijiweni

"Ile Silent Ocean ilibaki kuoparate kwa sababu inasemekana haikusajiliwa Tanzania japo iliwakenga wafanyabiashara wa Tanzania"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…