Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

Ombolezeni kwa mayowe!........ msiache kuomboleza hata kimoyo moyo basi!...yaani mjue unyama wa watoto wa wakulima ambao Mungu hakuwachagua kimaongozi!...msirudie tena kosa km hilo!
Unaelewa ulicho andika maana mimi sio mfuasi wa uongozi wowote uwe wa mabavu au wa kulamba asali. Usidandie mb kwa mknD
 
Mzalendo wa kweli ehee?
Unafahamu pesa zilizotokana na Plea bargain zilienda wapi, kufanya nini, kwa manufaa ya nani?
 
Punguza la mdomo mwalimu utakumbuka yote hayo
 
Unaelewa ulicho andika maana mimi sio mfuasi wa uongozi wowote uwe wa mabavu au wa kulamba asali. Usidandie mb kwa mknD
km hujaelewa mbona umejibu?? km siyo mfuasi wauongozi wowote mbona umedandia thread ya wafuasi husika??...sijui kama unajielewa!
 
Mimi sio mshamba tukitajana majina usikute nikija kwenu amani ikatoweka na ugonvi wa wazazi ukawaumiza ninyi watoto,wewe bado ni mtoto mdogo mno haujapevuka akili ukajua hii dunia inaendaje
Hivi we choko au?! 🤔🤔
 
Nikuambie kitu kimoja dogo ungekuwa umeelimika usingekuwa na chuki kiasi hiki na ungekuwa na hata milion 5 pia usingekuwa na akili za pombe kama hizi eti asili ya kishenzi......mimi hainitoki misuli ila ninachokueleza ni ukweli mtupu nchi hii asikudanganye mtu eti kuna kiongozi kuanzia kikwete,magufuli na huyu samia kuwa kati yao ni wazalendo hilo liondoe akilini hao wote ni walikuwepo kwa maslahi yao wao na magenge yao......hii nchi miaka hii 20 hakujatokea kiongozi mzalendo kuanzia diwani,mbunge,waziri,mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa nk ambao wapo kwa maslahi ya nchi tu,nakuambia hivyo kwasababu wengi wao nawajua kwakiasi chake
 
Silent Ocean nawakubaii kwa sanaa. Wapo effective, efficient na best of all, gharama zao ni reasonable. Hata Customer Care yao ni nzuri sana. Mzigo wako utafika salama na hawata ku-overcharge never. Hawa jamaa biashara yao ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi.
 
Wana mizizi bandarini ba TRA
 
Wana mizizi bandarini ba TRA
 
Mimi ninachojua GSM ni mfadhiri na mdhamini wa club yangu pendwa , hayo mengine hayanihusu, Kila mtanzani hata mleta mada ni mwizi tu sema hajapata nafasi ya kuiba.

Alale salama JPM. Nchi ilipofikia hata ukiwa mzalendo vipi utaishia kuumizwa wewe na familia yako na hao wajilia keki ya Taifa.

Cha msingi ukipata nafasi ya kupiga wee butua tu kwa kadri ya uwezo wako, vinginevyo utaishia kupiga majungu wakati wenzio wanajilia tu keki ya Taifa.

Nb. Kipindi cha JK kimesharudi mahali pake huyo GSM unaemsema anazidi kutaladadi.
 
Wanaofaidika ni Wateja wao lakini. Wapo vizuri sana. Faida inakuja kwa mteja by way of saving time and money.
Kumbe,kipindi cha msonga walitisha,bandari ilikuwa kama yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…