Familia ya Gwajima imemkosea Waziri wa Afya, kiungwana wamtafute wamuombe radhi

Familia ya Gwajima imemkosea Waziri wa Afya, kiungwana wamtafute wamuombe radhi

Tumejua yafuatayo.

Kumbe Dada Doro alishavunja ndoa zingine huko nyuma kabla ya hii.

Kumbe kina Gwajima ni Wahutu.

Kumbe Gwajima Ni kweli alikua na binti gesti wakati anandoa.

Kumbe Dada Doro amewavuruga ndugu wa mume hawasikilizani.

Acha waendelee kuvuana chupi tunaweza hata kujua mengi zaidi
 
Kwani Yesu alivunja ndoa za watu hadharani??!
 
Askofu Rashid sio muumini wa “ukinitandika kofi shavu hili, nitageuza upige na huku”. Yeye ni mzee wa tit-for-tat, jino kwa jino.
Kwahiyo hamfuati Yesu!!, sasa anamfuata nani??
 
Ni kama vile wewe hujui usemalo..

Dr Dorothy Gwajima na naibu wake ndiyo walioanza kumkashfu Mch. Gwajima na kutukana zaidi ya watanzania 70% wasiotaka kuchanja chanjo hii kwa usalama wao. Walifikia hatua ya kuwaita hawa 70% wote ni wajinga...
Sio lazima atokee mlango huo huo, anaweza kutokea mlango wa nyuma.
 
Hivi inakuwaje mabifu ya familia watuletee Hadi huku na wananchi tunalazimishwa kuyaingia mabifu yao ya siyo hata na kichwa Wala miguu
 
Askofu piga sapana achana na wapiga debe wa chanjo. Waziri who!
 
Naunga mkono hoja, na huu ni udhalilishaji sio tuu kwa Doro, bali kwa kabila zima la Wanyiramba, katakako shusha rate ya kuolewa kwa mabinti wa Wanyiramba.

Wanyiramba msikubali udhalilishaji huu, simameni m demands public apology.
P
 
Nasikia yule mzee sio baba wa mume wa Dorothy ila Ni baba yake ye Gwajima.Mkwewe Dorothy alishafariki.
Licha ya kuwa Dorothy kuwa alianza kumdharirisha Gwajima lkn alichofanya Leo Gwajima Ni upuuzi zaidi
Ndg yangu Steve,siku zote tambua kua dhuluma haina kiwango, ukimdhulumu Mtu elfu kumi,alafu yeye kesho yake akakudhulumu laki moja,huwezi sema eti akurudishie elfu 90 kisa wwe ulimdhulumu elfu kumi tu, hiyo inakua isha kula kwako!

Ni sawa na kumkashifu Mtu,nae akiamuwa kukukashifu huwezi kumchagulia Maneno ya kukukashifu,wwe pokea lolote lile litakalo toka kwake!! Dorothy ndiyo kachokoza Moto kwa Shemeji yake,Sasa nae zamu yake kupokea Moto,haijalishi Moto ni Mkubwa au ni mdogo, tunasema Moto ni Moto tu!!
 
Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kaz...
Ok lakini kauli za waziri Gwajima Zina tatizo
 
Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi...
Wewe acha ujinga wa kuangalia upande mmoja tu.

Kama kuna kampeni ya kuhamasisha watu wachanjwe pia lazima na watu wasiokubaliana na chanjo nao wafanye kampeni yao .
 
Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi...
Kaka Mtu tena Askofu Mtumishi wa Bwana amepataje Hekima ya kudhalilisha Mke wa Nduguye hadharani?? Inaingia akilini kweli Askofu anahesabu idadi ya Ndoa za Shemeji?

Kwa kweli nimemtoa anayejiita Askofu thamani na ningekuwa muumini wake Leo ningekuwa Mpagani.
 
Ndg yangu Steve,siku zote tambua kua dhuluma haina kiwango, ukimdhulumu Mtu elfu kumi,alafu yeye kesho yake akakudhulumu laki moja,huwezi sema eti akurudishie elfu 90 kisa wwe ulimdhulumu elfu kumi tu, hiyo inakua isha kula kwako! Ni sawa na kumkashifu Mtu,nae akiamuwa kukukashifu huwezi kumchagulia Maneno ya kukukashifu,wwe pokea lolote lile litakalo toka kwake!! Dorothy ndiyo kachokoza Moto kwa Shemeji yake,Sasa nae zamu yake kupokea Moto,haijalishi Moto ni Mkubwa au ni mdogo, tunasema Moto ni Moto tu!!
Nimekuelewa na upo sahihi,lakini Mimi namlaumu Gwajima kwa sababu ya nafasi yake ya Uaskofu.Laiti Kama Gwajima angekuwa mwanasiasa Basi Kama ilivyo kwa Dorothy nisingeshangaaa Wala nisingemlaumu maana Mambo ya kejeli alianza Dorothy.Nampa Lawama Gwajima kwa sababu ya nafasi yake ya Uaskofu.Kesho atafundisha Nini kanisani kuhusu upendo,msamaha kutokuwa na kiasi.Kuna sehemu kapigia debe uzinzi,hapo anamaanisha Nini? Sera ya jino kwa jino ndio anayohubiri Gwajima.Huyu kesho akikufundisha kuhusu kuwasamehe madui zetu kwa vile hawajui watendalo utamuelewa?
 
Ahahaha mama anajuta kumchokoza kifaru! Mama naye alizidi,huwezi kiwa waziri ukajibizana kijinga vile!

Siku zote ukiwa kiongozi HEKIMA HUTANGULIA JAZIBA sasa Dorothy(simuiti Gwajima tena maana kakatazwa na wenye jina) angejiengue fasta kwenye uwaziri-ova
 
Kaka Mtu tena Askofu Mtumishi wa Bwana amepataje Hekima ya kudhalilisha Mke wa Nduguye hadharani?? Inaingia akilini kweli Askofu anahesabu idadi ya Ndoa za Shemeji??
Kwa kweli nimemtoa anayejiita Askofu thamani na ningekuwa muumini wake Leo ningekuwa Mpagani.
Halafu Kuna mtu anaaga nyumbani kuwa naenda kanisani kusikiliza neno la Mungu.Hivi pale neno la Mungu Ni lipi?
 
Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi.

Lakini badala yake askofu gwajima amegeuza suala la chanjo kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani kwake huku akihamasisha na watu wengine kutochanjwa.

Si hivyo tu, pia kwenye mahubiri yake, askofu gwajima amekuwa akitumia mahubiri hayo kumshambulia shemeji yake na kuvuruga jitihada anazofanya kuhamasisha wananchi kuchanjwa chanjo ya UVIKO-19.

Kwa sababu ya busara ndogo ya askofu gwajima na kwa sababu ya kusaka umaarufu wa kisiasa amepelekea kuwepo kwa mzozo wa kifamilia na hata kuhatarisha ndoa ya mdogo wake.
Licha ya ndoa ya mdogo wake kuwa mashakani, pia anamharibia shemeji yake kwani mwitiko mdogo wa zoezi la chanjo unatokana na kauli zake anazozitoa akiwa madhabahuni.

Kwenye ibada ya leo, askofu gwajima ndio kaharibu kabisa kwani inaonyesha ameamua kumvunjia heshima na kumdhalilisha shemeji yake wazi wazi kwamba yeye kuolewa na mdogo wake ni hasara kwa familia yao na kwamba wamekuwa hawaelewani kwa sababu yake.

Mbaya zaidi mzee gwajima naye pamoja na uzee wake inaonyesha hana hekima wala busara kwa sababu alipaswa kuwa sehemu ya usuluhishi kwa kumshauri mwanaye 'askofu' kuacha kulumbana na shemeji yake hadharani lakini naye amezidi kukoleza moto kwa kumpa go ahead ya kumdhalilisha dorothy ambaye ni 'mwenga' wake.

Kwakweli kitendo kilichofanywa na askofu gwajima pamoja na mzee wake kumtweza Dorothy ni kitendo cha aibu na kiungwana wamtafute wamuombe radhi hili jambo walimalize kifamilia kwani msingi wa matatizo yote haya bila kupepesa macho ni askofu gwajima.
Waziri wa afya kajidharirisha mwenyewe.

Kwa mfano alipomtuhumu askofu kuwa alidai atamfufua Amina chifupa ,Sijui mara akaja akafumwa na mrembo huku akijua huyo ni shemeji yake au ni mkwe wake hiyo ni adabu?Halafu hayo yanauhusiano gani na mambo ya chanjo? Halafu wewe unatetea huo ujinga!

Kwa mfano angejibu hoja tena bila hata kumtaja jina shemeji yake huyo askofu, angepungukiwa na nini? Si angesema naomba nijibu hoja za wananchi ambao wamekuwa wakipotosha kuhusu chanjo.Kisha akajibu hizo hoja bila kumtaja jina bila kutaja mambo ya msukule,Mrembo au mambo ya ushemeji.Kwani hapo anapozungumza anazungumza akiwa kwenye kikao cha familia yao au anazungumza akiwa waziri?Halafu unaibuka mtu kama wewe unatetea ujinga.!
 
Gwajigirl alimsema Gwajiboy,

-Mkono wa Baunsa wakati akiongelea kilichodhaniwa ni video ya Ngono ya Gwajiboy.

-Alimsema kuwa majina hayaeleweki mara Rashid mara Josephat.

-Nadhani alimuita Kibwetere pia.

Alikuwa na adabu kwa ndugu wa Mumewe unadhani? kisa kaikataa chanjo?

Nani hapo alianza vita binafsi
Aliyeanza vita ni askofu gwajima. Kwa sababu baada ya serikali kuleta chanjo yeye akageuza hilo suala kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani huku akimzodoa waziri wa afya 'Dorothy' kwamba ni kigeugeu na hafai kuwa kwenye uwaziri. Dorothy baada ya kuona vichambo vimezidi ikabidi naye ajitetee kwa hayo ya kumfufua amina chifupa, mkono wa baunsa na mengine mengine.

Kwahiyo kiini cha tatizo ni askofu kwa sababu yeye asingetumia suala la chanjo na kumshambulia 'dorothy' kila jumapili kwenye mahubiri yake haya yote yasingetokea
 
Aliyeanza vita ni askofu gwajima. Kwa sababu baada ya serikali kuleta chanjo yeye akageuza hilo suala kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani huku akimzodoa waziri wa afya 'Dorothy' kwamba ni kigeugeu na hafai kuwa kwenye uwaziri. Dorothy baada ya kuona vichambo vimezidi ikabidi naye ajitetee kwa hayo ya kumfufua amina chifupa, mkono wa baunsa na mengine mengine.

Kwahiyo kiini cha tatizo ni askofu kwa sababu yeye asingetumia suala la chanjo na kumshambulia 'dorothy' kila jumapili kwenye mahubiri yake haya yote yasingetokea
Kichaa akikwapua wiki lako sokoni ukaanza kumkimbiza wewe ndio unakuwa kichaa
 
Back
Top Bottom