Kwahiyo hamfuati Yesu!!, sasa anamfuata nani??Askofu Rashid sio muumini wa “ukinitandika kofi shavu hili, nitageuza upige na huku”. Yeye ni mzee wa tit-for-tat, jino kwa jino.
Sio lazima atokee mlango huo huo, anaweza kutokea mlango wa nyuma.Ni kama vile wewe hujui usemalo..
Dr Dorothy Gwajima na naibu wake ndiyo walioanza kumkashfu Mch. Gwajima na kutukana zaidi ya watanzania 70% wasiotaka kuchanja chanjo hii kwa usalama wao. Walifikia hatua ya kuwaita hawa 70% wote ni wajinga...
Ndg yangu Steve,siku zote tambua kua dhuluma haina kiwango, ukimdhulumu Mtu elfu kumi,alafu yeye kesho yake akakudhulumu laki moja,huwezi sema eti akurudishie elfu 90 kisa wwe ulimdhulumu elfu kumi tu, hiyo inakua isha kula kwako!Nasikia yule mzee sio baba wa mume wa Dorothy ila Ni baba yake ye Gwajima.Mkwewe Dorothy alishafariki.
Licha ya kuwa Dorothy kuwa alianza kumdharirisha Gwajima lkn alichofanya Leo Gwajima Ni upuuzi zaidi
Ok lakini kauli za waziri Gwajima Zina tatizoAskofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kaz...
Wewe acha ujinga wa kuangalia upande mmoja tu.Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi...
Kaka Mtu tena Askofu Mtumishi wa Bwana amepataje Hekima ya kudhalilisha Mke wa Nduguye hadharani?? Inaingia akilini kweli Askofu anahesabu idadi ya Ndoa za Shemeji?Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi...
Nimekuelewa na upo sahihi,lakini Mimi namlaumu Gwajima kwa sababu ya nafasi yake ya Uaskofu.Laiti Kama Gwajima angekuwa mwanasiasa Basi Kama ilivyo kwa Dorothy nisingeshangaaa Wala nisingemlaumu maana Mambo ya kejeli alianza Dorothy.Nampa Lawama Gwajima kwa sababu ya nafasi yake ya Uaskofu.Kesho atafundisha Nini kanisani kuhusu upendo,msamaha kutokuwa na kiasi.Kuna sehemu kapigia debe uzinzi,hapo anamaanisha Nini? Sera ya jino kwa jino ndio anayohubiri Gwajima.Huyu kesho akikufundisha kuhusu kuwasamehe madui zetu kwa vile hawajui watendalo utamuelewa?Ndg yangu Steve,siku zote tambua kua dhuluma haina kiwango, ukimdhulumu Mtu elfu kumi,alafu yeye kesho yake akakudhulumu laki moja,huwezi sema eti akurudishie elfu 90 kisa wwe ulimdhulumu elfu kumi tu, hiyo inakua isha kula kwako! Ni sawa na kumkashifu Mtu,nae akiamuwa kukukashifu huwezi kumchagulia Maneno ya kukukashifu,wwe pokea lolote lile litakalo toka kwake!! Dorothy ndiyo kachokoza Moto kwa Shemeji yake,Sasa nae zamu yake kupokea Moto,haijalishi Moto ni Mkubwa au ni mdogo, tunasema Moto ni Moto tu!!
Halafu Kuna mtu anaaga nyumbani kuwa naenda kanisani kusikiliza neno la Mungu.Hivi pale neno la Mungu Ni lipi?Kaka Mtu tena Askofu Mtumishi wa Bwana amepataje Hekima ya kudhalilisha Mke wa Nduguye hadharani?? Inaingia akilini kweli Askofu anahesabu idadi ya Ndoa za Shemeji??
Kwa kweli nimemtoa anayejiita Askofu thamani na ningekuwa muumini wake Leo ningekuwa Mpagani.
Waziri wa afya kajidharirisha mwenyewe.Askofu gwajima huku akijua kwamba shemeji yake ndiye amepewa dhamana ya kusiamamia mambo ya chanjo. kiungwana tu hata kama hakubaliani na chanjo kwa kumheshimu shemeji yake angeweza kusema natumia hiari kutochanjwa basi akaishia hapo ili kuepusha migogoro ya kifamilia isiyokuwa ya lazima na pengine kumharibia shemeji yake kazi.
Lakini badala yake askofu gwajima amegeuza suala la chanjo kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani kwake huku akihamasisha na watu wengine kutochanjwa.
Si hivyo tu, pia kwenye mahubiri yake, askofu gwajima amekuwa akitumia mahubiri hayo kumshambulia shemeji yake na kuvuruga jitihada anazofanya kuhamasisha wananchi kuchanjwa chanjo ya UVIKO-19.
Kwa sababu ya busara ndogo ya askofu gwajima na kwa sababu ya kusaka umaarufu wa kisiasa amepelekea kuwepo kwa mzozo wa kifamilia na hata kuhatarisha ndoa ya mdogo wake.
Licha ya ndoa ya mdogo wake kuwa mashakani, pia anamharibia shemeji yake kwani mwitiko mdogo wa zoezi la chanjo unatokana na kauli zake anazozitoa akiwa madhabahuni.
Kwenye ibada ya leo, askofu gwajima ndio kaharibu kabisa kwani inaonyesha ameamua kumvunjia heshima na kumdhalilisha shemeji yake wazi wazi kwamba yeye kuolewa na mdogo wake ni hasara kwa familia yao na kwamba wamekuwa hawaelewani kwa sababu yake.
Mbaya zaidi mzee gwajima naye pamoja na uzee wake inaonyesha hana hekima wala busara kwa sababu alipaswa kuwa sehemu ya usuluhishi kwa kumshauri mwanaye 'askofu' kuacha kulumbana na shemeji yake hadharani lakini naye amezidi kukoleza moto kwa kumpa go ahead ya kumdhalilisha dorothy ambaye ni 'mwenga' wake.
Kwakweli kitendo kilichofanywa na askofu gwajima pamoja na mzee wake kumtweza Dorothy ni kitendo cha aibu na kiungwana wamtafute wamuombe radhi hili jambo walimalize kifamilia kwani msingi wa matatizo yote haya bila kupepesa macho ni askofu gwajima.
Yesu hakumaanisha hivyo😜Kwahiyo hamfuati Yesu!!, sasa anamfuata nani??
Aliyeanza vita ni askofu gwajima. Kwa sababu baada ya serikali kuleta chanjo yeye akageuza hilo suala kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani huku akimzodoa waziri wa afya 'Dorothy' kwamba ni kigeugeu na hafai kuwa kwenye uwaziri. Dorothy baada ya kuona vichambo vimezidi ikabidi naye ajitetee kwa hayo ya kumfufua amina chifupa, mkono wa baunsa na mengine mengine.Gwajigirl alimsema Gwajiboy,
-Mkono wa Baunsa wakati akiongelea kilichodhaniwa ni video ya Ngono ya Gwajiboy.
-Alimsema kuwa majina hayaeleweki mara Rashid mara Josephat.
-Nadhani alimuita Kibwetere pia.
Alikuwa na adabu kwa ndugu wa Mumewe unadhani? kisa kaikataa chanjo?
Nani hapo alianza vita binafsi
Kichaa akikwapua wiki lako sokoni ukaanza kumkimbiza wewe ndio unakuwa kichaaAliyeanza vita ni askofu gwajima. Kwa sababu baada ya serikali kuleta chanjo yeye akageuza hilo suala kuwa mahubiri yake ya kila siku kanisani huku akimzodoa waziri wa afya 'Dorothy' kwamba ni kigeugeu na hafai kuwa kwenye uwaziri. Dorothy baada ya kuona vichambo vimezidi ikabidi naye ajitetee kwa hayo ya kumfufua amina chifupa, mkono wa baunsa na mengine mengine.
Kwahiyo kiini cha tatizo ni askofu kwa sababu yeye asingetumia suala la chanjo na kumshambulia 'dorothy' kila jumapili kwenye mahubiri yake haya yote yasingetokea