Familia ya Hamza ni ya kulaumiwa siyo kuchekewa

Mnashangaa kutumia silaha wakati tukimaliza form six tunaenda jeshi.
Na mtandaoni zipo hadi kwenye movies.
Hata Mimi nipe silaha nikutestie ili upate kusimulia mbinguni kuwa silaha wote wanajua kutumia
 
Hamza alishakufa roho kabla ya kufa mwili

Hamza alikuwa mfanyabiashara wa madini, hivyo sio ajabu kumiliki silaha na kujua namna ya kutumia for self defense

Biashara ya madini sio kigezo cha mtu asiyekuwa na sifa za kumiliki silaha kupewa kibali cha kumiliki silaha.
Tena sasa igp aende mbali zaidi kuangalia wale waliotoa shuhuda za uongo zilizopelekea umiliki wa silaha wa hamza huku wakikijua kichwa chake kibovu. Na hapo ndio watanzania watajifunza umuhimu na madhara ya kusaini baadhi ya nyaraka
 
Amefanya matukio mangapi?
Tueleze unayoyafahamu kuhusu hamza usiweke habari nusunusu au kimafumbo

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app

Sasa kama hujui aliyokwisha kuyafanya unawezaje kuja kumtetea hapa🙄🙄🙄
Hakuna kitu kibaya kama kuongea mambo usiyoyajua, tena mambo ya jinai
 
We unahisi Kila mtu hajui kutumia Chuma Kama wewe ulieamua kubobea kwenye history na geography tu
 
We unahisi Kila mtu hajui kutumia Chuma Kama wewe ulieamua kubobea kwenye history na geography tu
History na geography zimenisaidia sana
Wewe hiyo kujua kutumia Chuma imekusaidia nini???
Au unasubiri na wewe ukafanye tukio upigwe risasi ufe ukazikwe🙄
 
History na geography zimenisaidia sana
Wewe hiyo kujua kutumia Chuma imekusaidia nini???
Au unasubiri na wewe ukafanye tukio upigwe risasi ufe ukazikwe🙄
Mchumba kila mtu anachagua anachokipenda...this is not job interview kuuliza kuhusu ujuzi wangu kuwa umenisaidia Nini.!! Hivo usi judge Hamza kwanini anajua kutumia bunduki...sikulaumu maana ukute kwenye cycle yako kujua kutumia bunduki ni jambo la ajabu
 
Kwa hiyo unaona kutumia au kumiliki silaha ni hitaji la muhimu kwa watu😅😅
Maskini🙏
 
Siku ndugu zako wakikutana na mkono wa gaidi urudi tena kujichekesha humu
 
Sasa kama hujui aliyokwisha kuyafanya unawezaje kuja kumtetea hapa[emoji849][emoji849][emoji849]
Hakuna kitu kibaya kama kuongea mambo usiyoyajua, tena mambo ya jinai
Wengi tumemjua Hamza baada ya hilo tukio la Salenda bridge,wewe unayejifanya kumjua sana historia yake ndio utuambie hapa amefanya mambo gani mengine mabaya ukiachana na hilo tukio moja.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Tunapambana kuita mtu Gaidi mara wengine ni Hero kwao tunapoteza tu muda,inawezekana mwenzetu alitubu dakika za mwisho kabla ya kukata roho sisi huku tunaendeleza porojo zetu..
 
Tunawatukana askari kwa sababu tupo kwenye amani.Siku bongo pakinuka pasiwe na amani mtawakumbuka askari hawa hawa mnaowatukana leo.Tuwe na heshima na mipaka kwa askari wetu utani usivuke mipaka
 
Tunawatukana askari kwa sababu tupo kwenye amani.Siku bongo pakinuka pasiwe na amani mtawakumbuka askari hawa hawa mnaowatukana leo.Tuwe na heshima na mipaka kwa askari wetu utani usivuke mipaka
Hakuna kitu kama hicho.
Unataka kuniambia nchi zenye machafuko kama Sudan,Congo,Afghanistan,Libya hakuna polisi?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…